sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kama unaishiaga kuyaona tu magari bora ukae kimya tu, Unajua mark x kwa wiki mafuta kiasi gani yanahitajikaInnocent enzi za ukiwa na gari ndio una hela sishapitwa na wakati
Kuwa na gari sio alama ya kuwa una mkwanja!!
Mark x???