Richard, kipaji halisi kinachopotezwa na kiburi.
Washauri wake waliomshauri aondoke wasafi naona wamemuacha apambane mwenyewe binamu wabaya Sana aisse.Kiburi kwa lipi..?
Kwani walikuwa wanalipwa kidogo?Ana wimbo mmoja unaitwa 'naogopa'
Mzuri sana ..angekuwa bado yuko WCB unge hit sana...
Kuna watu wamempoteza Kwa ushauri mbaya..
Ingawa yeye na Harmonize wamechangia kusababisha waliobaki WBC wapate malipo mazuri nahisi..
Mboso now sidhani kama anatamani kutoka WCB
Inasemekana hivyo..sijui ukweli wake zaidiKwani walikuwa wanalipwa kidogo?
Harmonize kaondoka wasafi akiwa anamalizia kujenga ghorofa lake baada ya kuwa na nyumba mbili rich mavoko katika safari yake ya mziki hajawahi kumiliki mark x kamiliki akiwa wasafi ila sasa hiv kaliuza Kama hivi ni malipo kidogo watu Kama qchilla,Tid,chid Benz watasemaje?Inasemekana hivyo..sijui ukweli wake zaidi
Alafu wengi wao wanakwambia mavoco alikuwa mkubwa kabla ya kuingia WCB,alikuwa anahit sawa lakini hakuwa na ukubwa huo waliokua wanamuongezea,leo hii huko alipo ukiwauliza waliokua wanasema ananyonywa na WCB wako wapi huwaoni,na Kama alikuwa ananyonywa vp kwasasa si yupo nje ya WCB hali ikoje?,ambaye alitarget kutoka pale ni kondeboy tu tayari alikuwa mkubwa kwa kila kituBINADAM WABAYA SANA HIVI WALE WALIOKUWA WANAMPA USHAURI ATOKE WASAFI WALIMUANDAA KWELI HATA KWA USAURI? π€
BINADAMU WABAYA SANA
Ana wimbo mmoja unaitwa 'naogopa'
Mzuri sana ..angekuwa bado yuko WCB unge hit sana...
Kuna watu wamempoteza Kwa ushauri mbaya..
Ingawa yeye na Harmonize wamechangia kusababisha waliobaki WBC wapate malipo mazuri nahisi..
Mboso now sidhani kama anatamani kutoka WCB
Harmonize kaondoka wasafi akiwa anamalizia kujenga ghorofa lake baada ya kuwa na nyumba mbili rich mavoko katika safari yake ya mziki hajawahi kumiliki mark x kamiliki akiwa wasafi ila sasa hiv kaliuza Kama hivi ni malipo kidogo watu Kama qchilla,Tid,chid Benz watasemaje?