Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Pole sana, wakati mwingine ukali huwa ni hulka ya mtu binafsi.

Hata kama una cheo/wadhifa Mkubwa lakini haikuondolei kufuata utaratibu.

Kuna kazi moja ilihusisha kukutana na Mzee Pinda wakati fulani, though ilikuwa baada ya kustaafu.

Lakini Mzee wa watu alikuwa peace [emoji3577] tu wakati anasubiri nimuhudumie.

Na alikuwa anapenda ucheshi kidogo, japo Walinzi wake walikuwa kama hawapendi Mzee aendelee kukaa muda mrefu pale.
Wengine wanajifanya Wana machale kama wanakimbia defenda la kumsaka kibaka wa mitaa ya keko
 
Yaani mi nasema kila siku wanawake tutafute Hela,,yaani ukiwa na Hela huna time na mambo ya kucheatcheat maana wanawake mara nyingi cheating zinatokana na Uchumi mmbovu,mtu anajitia Muha ga huku moyoni anahukumiwa.
iwekwe lamination hii...namwambiaga babe yangu haya maneno daily...ukiwa huna hela vishawishi kibao...ukiwa nazo hata mumeo unampa ratiba...unamwambia kbs jpl usiniguse juma3 nna kikao na wafanyakazi wangu😆
 
Back
Top Bottom