Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Hivi Rita L alipewa Mirathi baada ya Jemedari kuitwa na Mungu au alichinjiwa baharini?

Nakumbuka kuna siku Ben alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita, akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Askari wake wa amani ndio akaenda kumtoa, alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata ajali Mikocheni karibu na daraja la JKT pale Mlalakuwa akitokea kwa Rita. Wakati huo akiwa bado ni Jemedari

Sema Rita naye alikuwa na mambo mengi, kaachana na mumewe kisa Ben na wakawa wanatoana ngeu na Kiana.

Baadaye Rita akaona isiwe tabu, akajitafuta Mwarabu wake wa kududuana.

Sema Ujana maji ya moto, sasa Rita karudiana na mumewe wanakula mafao yao.

Walishasameheana maisha yanaendelea. Majemedari wetu wanapenda dogodogo!

Ben na Rita walidumu kipindi kirefu. Je, baada ya kifo cha Ben, Rita hajapewa chochote kama kifuta jasho kwa kumtunza?

Ila jamani Rita alikuwa Pisi kali, acha hapa kazeeka.

Ila Rita naye, alipokuwa MSEMAJI wa watu wa Kawe, akampata THE GREAT. Ukaibuka ugomvi mpya kati ya Rita na Chimama
Wazinzi hawataurithi ufalme wa Mungu (Ufunuo 22:15).
 
Kipindi Cha headmistress mkiramweni
Alikuwa jembe kama ndalichako
Nonsense lady

basi ww utakua umesoma na kaka zangu kupindi kile cha wale waliochomana visu kisa mdada, wale wa uniform za rangi ya moto, ndio alikua headmistress mama mkiramwene
 
Siwezi kukuchamba usingizi wa Kaka, Wala hajanituma Ila namjua Kaka angu, I can see he is in love, umemtuliza....manake zamani alikuwa akivurugwa huko anakiwasha hadi Kwa Sisi ndugu zake🤣🤣🤣 umempa peace of mind why tusikupende Wii😘

Kesho ntapanda juu ya mti mwenyewe niangue embe mbichi nikuletee ....
Usisahau na kuku za KFC 😜
Aunt yako anapenda tuvitu tutam tam 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom