Hivi Robertino anashindwaje kupanga kosi kama hili la mauaji?

Hivi Robertino anashindwaje kupanga kosi kama hili la mauaji?

Ok
img_1697799710288.jpg
 
Kanute, Saido, phiri hakuna wachezaji.

Chama na Akina kapombe watafutiwe mshindani.

Nashangaa kama vile kaduguda alivyohoji unatuletea SAWADOGO...

Mimi nahoji AYOUB mdakamapanzi anamtafuta nini Simba Hadi Leo.......!!! ....
 
Ila huwez kufanya usajili wa timu nzima mkuu... naongelea wenye afadhali kidogo
 
NILIISHA SHAURI HAPA HATA KABLA YA DIRISHA LA USAJILI.

VIONGOZI WA SIMBA NI MAZWAZWA.

HAKUNA TIMU YA KUWEZA KUMFUNGA ALAHY.

KIKOSI CHA SASA KINA MAPENGO AMBAYO NI AFADHALI YA VIKOSI VYA MIAKA ILE VILIVYOKUWA VIKIMFUNGA ALHLY

AYUBU MDAKA PANZI NA ALLY SALUM WAKADAKE MBELE YA ALHLY ALAFU UTEGEMEE USHINDI!!!!!!?

Ni ujinga tu kuzungumzia usajili mwanzo wa msimu. Ni busara kuwapa moyo wachezaji waliopo ndani ya kikosi, badala ya kuwasimanga mitandaoni. Kocha ndiye anashinda kambini na wachezaji, wengine tunakuja kuwaona uwanjani. Matokeo mazuri na mabaya wajibu wake upo kwa kocha, hivyo tumuache apange apendavyo. Kuna wakati ilipigwa kampeni ya kumlazimisha ampange Phiri, alipompanga tukaona ni heri Baleke na Boko
 
Unawapa Moyo akina
1. AYOUB
2. ONANA.
3. MIQUISSONE.
SAWADOGO!!!!!!
 
Sasa ukimuacha mchezaji katika muda huu raundi ya 5 ya Ligi, nani atacheza?

Unasikiliza wanayokuambia wataalam WA MPIRA.

INASAJILI wachezaji wazuri
Simba Katika WACHEZAJI kumi waliosajiliwa MSIMU Huu wachezaji wa maana ni wawili tu
1. Fabrice NGOMA.
2.che malone

HAWA WENGINE WAMEFELI HAWAWEZI KUCHEZA HATA NA DAR CITY WAKASHINDA.

Essomba Onana (Rayon Sports) – 2 Years Contract
✅Aubin Kramo – ASEC Mimosas
✅David Kameta – Extend
✅Idd Chilunda -Azam FC
✅ABDALLAH HAMIS
✅HUSSEIN KAZI
✅Luis Miquissone
✅Hussen Abeli (GK – KMC)
✅Ayoub Lakred (MDAKA MAPANZI)
 
Phiri

Chama Saidoo Kibu

Ngoma Kanoute

Tshabalala Chemalon Inonga Kapom

(Kipa Yeyote)

Embu tujadiliane ubora wa hilo kosi hapo
Sasa kwani hao na WA juzi wametofautiana kitu gani .....ni phiri tu alikwepo baleke ila moto ni ule ule na bado hamjasema MISRI mtasema
 
Unasikiliza wanayokuambia wataalam WA MPIRA.

INASAJILI wachezaji wazuri
Simba Katika WACHEZAJI kumi waliosajiliwa MSIMU Huu wachezaji wa maana ni wawili tu
1. Fabrice NGOMA.
2.che malone

HAWA WENGINE WAMEFELI HAWAWEZI KUCHEZA HATA NA DAR CITY WAKASHINDA.

Essomba Onana (Rayon Sports) – 2 Years Contract
✅Aubin Kramo – ASEC Mimosas
✅David Kameta – Extend
✅Idd Chilunda -Azam FC
✅ABDALLAH HAMIS
✅HUSSEIN KAZI
✅Luis Miquissone
✅Hussen Abeli (GK – KMC)
✅Ayoub Lakred (MDAKA MAPANZI)
Nimeshasema kwa mtu anayejitambua, huwa anaenda kupambana na silaha alizo nazo mkononi na ghalani. Huwezi kuanza kulialia katikati ya mapambano. Tutaenda na hao hao, shabiki anayelialia arudi nyumbani, atatuchomesha
 
Ukapambane na JESHI la Marekani Lenye Silaha NZITO kama nyuklia uende na Upanga.

AYUBU MDAKA MIPANZI ni sawa na Kisu mbele ya Drones
 
Back
Top Bottom