Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Ila huwez kufanya usajili wa timu nzima mkuu... naongelea wenye afadhali kidogoKanute, Saido, phiri hakuna wachezaji.
Chama na Akina kapombe watafutiwe mshindani.
Nashangaa kama vile kaduguda alivyohoji unatuletea SAWADOGO...
Mimi nahoji AYOUB mdakamapanzi anamtafuta nini Simba Hadi Leo.......!!! ....
Ni ujinga tu kuzungumzia usajili mwanzo wa msimu. Ni busara kuwapa moyo wachezaji waliopo ndani ya kikosi, badala ya kuwasimanga mitandaoni. Kocha ndiye anashinda kambini na wachezaji, wengine tunakuja kuwaona uwanjani. Matokeo mazuri na mabaya wajibu wake upo kwa kocha, hivyo tumuache apange apendavyo. Kuna wakati ilipigwa kampeni ya kumlazimisha ampange Phiri, alipompanga tukaona ni heri Baleke na Boko
Sasa ukimuacha mchezaji katika muda huu raundi ya 5 ya Ligi, nani atacheza?Unawapa Moyo akina
1. AYOUB
2. ONANA.
3. MIQUISSONE.
SAWADOGO!!!!!!
Sasa ukimuacha mchezaji katika muda huu raundi ya 5 ya Ligi, nani atacheza?
Sasa kwani hao na WA juzi wametofautiana kitu gani .....ni phiri tu alikwepo baleke ila moto ni ule ule na bado hamjasema MISRI mtasemaPhiri
Chama Saidoo Kibu
Ngoma Kanoute
Tshabalala Chemalon Inonga Kapom
(Kipa Yeyote)
Embu tujadiliane ubora wa hilo kosi hapo
Nimeshasema kwa mtu anayejitambua, huwa anaenda kupambana na silaha alizo nazo mkononi na ghalani. Huwezi kuanza kulialia katikati ya mapambano. Tutaenda na hao hao, shabiki anayelialia arudi nyumbani, atatuchomeshaUnasikiliza wanayokuambia wataalam WA MPIRA.
INASAJILI wachezaji wazuri
Simba Katika WACHEZAJI kumi waliosajiliwa MSIMU Huu wachezaji wa maana ni wawili tu
1. Fabrice NGOMA.
2.che malone
HAWA WENGINE WAMEFELI HAWAWEZI KUCHEZA HATA NA DAR CITY WAKASHINDA.
Essomba Onana (Rayon Sports) – 2 Years Contract
✅Aubin Kramo – ASEC Mimosas
✅David Kameta – Extend
✅Idd Chilunda -Azam FC
✅ABDALLAH HAMIS
✅HUSSEIN KAZI
✅Luis Miquissone
✅Hussen Abeli (GK – KMC)
✅Ayoub Lakred (MDAKA MAPANZI)
Kapombe ni uchochoroPhiri
Chama Saidoo Kibu
Ngoma Kanoute
Tshabalala Chemalon Inonga Kapom
(Kipa Yeyote)
Embu tujadiliane ubora wa hilo kosi hapo
Usiongee sana mpira unadundaSasa kwani hao na WA juzi wametofautiana kitu gani .....ni phiri tu alikwepo baleke ila moto ni ule ule na bado hamjasema MISRI mtasema
Sikatai ila unaangalia na uwezo wako simba bado inahitaji mudaUsiongee sana mpira unadunda
Nimeshasema kwa mtu anayejitambua, huwa anaenda kupambana na silaha alizo nazo mkononi na ghalani. Huwezi kuanza kulialia katikati ya mapambano. Tutaenda na hao hao, shabiki anayelialia arudi nyumbani, atatuchomesha
Kwa hiyo unapendekeza kuwa wasingeshiriki michuano yoyote hadi usajili mpya wa 2024/2025 ?Ukapambane na JESHI la Marekani Lenye Silaha NZITO kama nyuklia uende na Upanga.