Matrafiki hapa dar wanachukua rushwa balaa kwenye daladala na hawaogipi tena. Wanachukue buku mbili mbili hadharani kabisa bila woga na wameachiana idadi ya magari kwamba wewe tunakupa magari labda 40 kwa siku na yule atachukua elfu mbilimbile magari 50 na wanaachiana kabisa.
Kidogo wanaogopa magari binafsi na tinted mna hawajui aliyeko mle.
Rushwa bongo imefika pabaya sana it is as if hatuna serikali mana hakuna anayekemea tena rushwa
Kidogo wanaogopa magari binafsi na tinted mna hawajui aliyeko mle.
Rushwa bongo imefika pabaya sana it is as if hatuna serikali mana hakuna anayekemea tena rushwa