Hata zao zishafika sana lakini sio official kama hili tukio wanaloenda kulifanyaLakini sio issue sana sasa.
Tumeziona za wenzao muda sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata zao zishafika sana lakini sio official kama hili tukio wanaloenda kulifanyaLakini sio issue sana sasa.
Tumeziona za wenzao muda sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Yanga wasije wakafanya njama wakawakaba huko njiani wakakimbia na jezi maana mna nongwa sana
Kufanya live coverage kutoka mlimani ni changamoto let's wait and seeNadhani wangetumia njia hiyo ya kurekodi mapema wangekuwa na nafasi zaidi kuongeza ubunifu badala ya kutegemea mambo ya live ambayo yanaweza kuwa na changamoto nyingi. Wangeweza kurekodi njiani pia, wakaunganisha na footage za kiwandani jezi zilipotengenezwa ili kutengeneza kama kadocumentary hivi kakali ka dakika 3. Hapa nawaza idea moja kali sana, labda nitaipenyeza kwa wahusika ili mwakani ifanyiwe kazi.
Viongozi wamezingua sana.Kufanya live coverage kutoka mlimani ni changamoto let's wait and see
Wameshindwa Banaaa....
HahahahaWazee wa kuishia robo hata kupanda mlima wameishia robo ya mlima
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Wameshachemka tayari.Kwahiyo hawa ndo waje watoboe Zile zigzag za Kibo Camp?... Jamaica kisha Gilmans, Stella then Uhuru?
Mmq nimekaa paleee