Hivi safari ya kilele cha Mlima Kilimanjaro, hawa akina Mangungu, Surndaland na Try Again wanaijua? Ama wanafikiri hapo ni kama kupanda ghorofa?

Kufanya live coverage kutoka mlimani ni changamoto let's wait and see
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu kwani hakuna uhusiano wowote kati ya mpira na kupanda milima. Ingekuwa kuna uhusiano, tungeona club za Ulaya zikipanda mlima Everest ili kupata chachu ya mafanikio. Jiulize, ile tunapata uhuru kuna mwenge wa uhuru uliwashwa hapo mlimani, je ulileta mafanikio yapi ?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…