Hivi safari ya Mb Dogg kwa Nancy Sumari iliishia wapi?

Hivi safari ya Mb Dogg kwa Nancy Sumari iliishia wapi?

Hata hiyo safari haikuwepo, kipindi anaimba hizo nyimbo hata walikuwa hawajawahi onana..

Hata Nancy alipoulizwa alidai na yeye ni shabiki wa Mb dog kama mashabiki wengine.
 
Back
Top Bottom