Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Oct 22, 2020 #21 Hata hiyo safari haikuwepo, kipindi anaimba hizo nyimbo hata walikuwa hawajawahi onana.. Hata Nancy alipoulizwa alidai na yeye ni shabiki wa Mb dog kama mashabiki wengine.
Hata hiyo safari haikuwepo, kipindi anaimba hizo nyimbo hata walikuwa hawajawahi onana.. Hata Nancy alipoulizwa alidai na yeye ni shabiki wa Mb dog kama mashabiki wengine.
A Afande Tanzania JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 460 Reaction score 1,169 Oct 23, 2020 #22 MIGUGO said: Miaka ya 2000s wakati Mb Dogg anatamba zilizuka tetesi jamaa anadate na binti Suma yaani Nancy Sumari mpaka akamuimba wimbo wa "Ina maana ". Mb Dogg aliishia wapi? Click to expand... Iliishia Chato,
MIGUGO said: Miaka ya 2000s wakati Mb Dogg anatamba zilizuka tetesi jamaa anadate na binti Suma yaani Nancy Sumari mpaka akamuimba wimbo wa "Ina maana ". Mb Dogg aliishia wapi? Click to expand... Iliishia Chato,
Ncherry1 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 2,181 Reaction score 2,250 Oct 23, 2020 #23 Uyo Nancy yy bdo hajitambui au kuolewa na kimtu kinafuga kuuuchaa
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Oct 23, 2020 #24 Hawajawahi kua wapenzi ila MB Doggy ndio alikua anajipendekeza sana. Kuna uzi watu walidiscuss sana hii kitu. Déjà vu Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...
Hawajawahi kua wapenzi ila MB Doggy ndio alikua anajipendekeza sana. Kuna uzi watu walidiscuss sana hii kitu. Déjà vu Sipati picha Nancy Sumari angekuwa na MB Doggy hivi sasa...
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Oct 23, 2020 #25 "Inamaana hujui kama nakupenda sana wewe, jinsi ulivyo umbika duu, nakonda na wewe"