Hivi Saido kasajiliwa wapi siku hizi

Hivi Saido kasajiliwa wapi siku hizi

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Namkumbuka huyu Mzee wa Simba jinsi alivyokuwa na hasira na Yanga hadi muda wote yeye yupo mitandaoni kuikashifu Yanga.

Ni kama Feisal Salum jinsi alivyo na hasira na Yanga. Muda wote anawaza kuikomoa lakini yanageuka na kujikomoa mwenyewe. Yani Mchezaji unakuwa na tabia za kusutanana kuchambana halafu ni dume et.
 
Yanga mnamatatizo na wachezaji wanaoondoka, maana hata mayele aliwalalamikia.
 
Nakumbuka kuna mwandishi alikuwa anaihoji familia ya huyo saido wakadai wao ni mashabiki wa simba lialia na hata walikuwa wanapata shida mzee wao kuchezea yanga wakati kiasili mzee wao ni simba
Usipokuwa simba utakuwa timu gani?
 
Namkumbuka huyu Mzee wa Simba jinsi alivyokuwa na hasira na Yanga hadi muda wote yeye yupo mitandaoni kuikashifu Yanga.

Ni kama Feisal Salum jinsi alivyo na hasira na Yanga. Muda wote anawaza kuikomoa lakini yanageuka na kujikomoa mwenyewe. Yani Mchezaji unakuwa na tabia za kusutanana kuchambana halafu ni dume et.
Mbona unapigana na mtu ambaye anaendelea na maisha yake hajui hata kama upo?
 
Mambo ya ajabu sana haya mkuu,Mtu katulia zake huko anakula pension jamaa analeta hiz stor za kumzungumzia mtu mwenye pesa zake na maisha yake
 
Back
Top Bottom