nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Ukweli mtupusi kweli kuwa samata hajitumi national team, jamaa anaipenda timu yake uchawi anaocheza nao, tizama kipindi cha pili kwanza alicheza kama winga wa kushoto, jitihada zake na mchango wake alionekana kama amejitolea sababu mipira mingi ilikuwa inamfikia, ila kipindi cha pili baada yya sub akaenda kucheza CF, mipira haimfikii, akawa anaonekana hana analolifanya uwanjani(huyu ndio samatta anaelalamikiwa na wa tz)
jana nilimuona kwenye list nikaanza kutukana ila kanishangaza sana kanikumbusha samatta wa miaka 4 iliyopita yaani kama angekuwa na support ya bocco, lyanga au nado ingekuwa balaasi kweli kuwa samata hajitumi national team, jamaa anaipenda timu yake uchawi anaocheza nao, tizama kipindi cha pili kwanza alicheza kama winga wa kushoto, jitihada zake na mchango wake alionekana kama amejitolea sababu mipira mingi ilikuwa inamfikia, ila kipindi cha pili baada yya sub akaenda kucheza CF, mipira haimfikii, akawa anaonekana hana analolifanya uwanjani(huyu ndio samatta anaelalamikiwa na wa tz)
Kifupi samatta akisimama juu pale, mchango unakuwa mdogo sababu ya huduma dhaifu anayoipata.jana nilimuona kwenye list nikaanza kutukana ila kanishangaza sana kanikumbusha samatta wa miaka 4 iliyopita yaani kama angekuwa na support ya bocco, lyanga au nado ingekuwa balaa
wote tumeliona jana kwa kweli ,nakuunga mkono jana karudisha heshimaKifupi samatta akisimama juu pale, mchango unakuwa mdogo sababu ya huduma dhaifu anayoipata.
Kwani Aston Villa alikuwa anasimama chiniKifupi samatta akisimama juu pale, mchango unakuwa mdogo sababu ya huduma dhaifu anayoipata.
Tatizo kila lumpen nae nu kochaYule samata wa jana hata angekutana na Italy angewasumbua sana ,jamaa alikuwa moto sana najiuliza ni kwa sababu mzungu alimuweka kushoto? nashangaaaa sana labda alikuwa anatufanyia makusudi akiwa aston villa, Genk na uturuki karudi Royal antwerp anatuonyesha kwamba uwezo nao, siku zote tunamlaumu kwa sababu tunajua uwezo anao sana ni muda mrefu sana sijamuona samata wa jana
Anyway sasa bwana kocha hiyo nafasi ya Lusajo arudi Bocco haraka sana halafu ikibidi nado na lyanga wapewe nafasi...ALL IN ALL HONGERENI SANA WACHEZAJI WETU MAY GOD BLESS BLESS YOU
Hongera za binafsi kwa FEI TOTO,SAMATAA, MUZAMIRU YASIN
Kwa mtazamo wako, Taifa Stars jumlisha na Wachezaji wetu kwa ujumla; kati ya viungo kwa upande mmoja, na Left & Right Fullbacks kwa upande mwingine; ni eneo gani tupo vizuri?!Yule samata wa jana hata angekutana na Italy angewasumbua sana ,jamaa alikuwa moto sana najiuliza ni kwa sababu mzungu alimuweka kushoto?