nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Yule samata wa jana hata angekutana na Italy angewasumbua sana ,jamaa alikuwa moto sana najiuliza ni kwa sababu mzungu alimuweka kushoto? nashangaaaa sana labda alikuwa anatufanyia makusudi akiwa aston villa, Genk na uturuki karudi Royal antwerp anatuonyesha kwamba uwezo nao, siku zote tunamlaumu kwa sababu tunajua uwezo anao sana ni muda mrefu sana sijamuona samata wa jana
Anyway sasa bwana kocha hiyo nafasi ya Lusajo arudi Bocco haraka sana halafu ikibidi nado na lyanga wapewe nafasi...ALL IN ALL HONGERENI SANA WACHEZAJI WETU MAY GOD BLESS BLESS YOU
Hongera za binafsi kwa FEI TOTO,SAMATAA, MUZAMIRU YASIN