Hivi Samatta na Diamond nani mwenye hela nyingi? Je, muziki unalipa sana kuliko mpiira?

Huyu atutajie account yake ya fb tukamchunguze na kule maana anajisahau kua yupo kwa the great thinker
 
Usimfananishe Diamond na Watu kama samatta buana D ni. Level Nyingine mpira unalipa ila sio afrika na ligi ya uberigiji mpira unalipa baadhi ya nchi mfano ni England, Spain, jerman, italy nk.
u know nothing
 
ninavyojua mia myweather anapiga mpunga mrefu kuliko hao akina ronaldo
 
Usimfananishe Diamond na Watu kama samatta buana D ni. Level Nyingine mpira unalipa ila sio afrika na ligi ya uberigiji mpira unalipa baadhi ya nchi mfano ni England, Spain, jerman, italy nk.
Hujui kitu kuna watu wanacheza China na uarabuni ila wanapesa kushida wanaocheza Epl pia sio kila anayecheza epl atakuwa na pesa
 
Mpira unalipa saaaaaaana ndo maana wanamichezo watano walioingiza pesa nyingi 2016,2017 Hakuna msanii hata mmoja, deal la Nike pekee Rinaldo wanampa $1billion husiche na mpira pyeeeee
Tofautisha malipo ya mpira na malipo ya mikataba ya matangazo. Hiyo ni biashara nyingine inayotokana na jina la mchezaji. Hapo kinachotengeneza hela ni brand ambayo hata kama ingekuwa haitokani na mpira bado ingetengeneza hela tu.
 
Usimfananishe Diamond na Watu kama samatta buana D ni. Level Nyingine mpira unalipa ila sio afrika na ligi ya uberigiji mpira unalipa baadhi ya nchi mfano ni England, Spain, jerman, italy nk.
Ukitaka kujua mziki unalipa kuliko mpira ingia katika nchi husika tafuta mchzaji mwenye hela nyingi zaidi linganisha na mwanamziki mwenye hela nyingi zaidi katika nchi ile ile bila kuvuka mipaka. Utanipa majibu. Anzia bongo mpaka huko unapopajua
 
Tuanzie Portugal,tuje Argentina, twende England,twende France, Africa twende ivortcoast na Cameroon hizo nchi nitajie msanii ambaye anapesa kushinda wachezazi wanaotoka nchi hizo
 
Mbona hujaitaja marekani mkuu,?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Wapo huku wakina mo... Bhar3sa...dangote... Wasanii na footballers wana pesa za msimu... Yana Zina muda maalum kuanzia age ya miaka 20s mpaka 30s kwa wachezaji baada ya hapo kimya... Wasanii at least wana weza kaa kwa muda mrefu mpaka 40s...

Ila nao wangekuwa wawekezaji nazani wangefika level za wakina Bill... Mark

Si shauri watu kuingia ktk haka ka group ka mpito... Bora mpambane mfike kwa level za wakina mo... Mengi... JK... Chenge... JP... Nkapa... Mbowe... Ruge wa VIP... Hata kwa kuiba kukaba kwa namna iliyo Bora hasa kwa kujua kula na kipofu...
 
Mpira unalipa saaaaaaana ndo maana wanamichezo watano walioingiza pesa nyingi 2016,2017 Hakuna msanii hata mmoja, deal la Nike pekee Rinaldo wanampa $1billion husiche na mpira pyeeeee
Mkuu una uhakika hilo Deal la $1b? Utajiri wa Ronaldo hanusi kabisa kwenye $1b
 
Back
Top Bottom