Hivi Samatta yupo kweli?

Hivi Samatta yupo kweli?

Labda kwa sababu ya umri, ila kipindi chake Samatta alikuwa tishio, labda kama ulikuwa haufuatilii ligi ya Mabingwa Afrika.

Samatta alikuwa anauwezo wa kukusanya kijiji.

Tofauti mojawapo ya Samatta na Mayele nayoiona ni; Samatta anauwezo mkubwa wa kumiliki mpira, dribolingi, na kupiga chenga. Mayele ni mzee wa mbio na kupiga langoni haraka sana. Mayele akikabwa man to man hafungi, ila Samatta enzi zake atatafuta mpira ulipo na kuanzisha mashambulizi!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
***** Wako yaani samata unamlinganisha na hizo takataka
 
Samatta kaenda kutamba huko kongo kwao na mayele hajulikan, samatta kwenye peak yake mayele wawe wa3 nusu na robo.
Kila kitu na muda, samatta anawatoa mafua mabeki wa kongo, katumbi anamchukua kwenda tp mazembe mayele alikuwa wapi?
Ni sawa leo umuulize tressor mputu,
Samatta kafunga huko Belgium pro league mpaka akachoka, akafeli kkwenda Aston villa (hii inatokea kwenye maisha), walifeli kina di maria itakuwa samatta
Mchezaji bora wa africa.

Ni sawa na kumsema cr7 kisa tu saa hizi hana timu.

Wabongo hatupendani, ni kweli akilii ya mpira ya chama inaweza kuwa kubwa kuzidi hata grealish, ila hilo halifanyi samatta aonekane hajui mpira.
Nimependa hapo paragraph ya mwisho kuwa chama yuko vizuri kuliko grealish
 
Nani mpumbavu kati ya wewe na samatta? We endelea kujiuza hapo mbagala
Mama ako nae amejiuza sana mpaka tulipo muonea huruma na kumnunua,tukampa mimba tukamtelekeza,akakuzaa kwa tabu..magumu uliopitia ndio yamekuondoa nidhamu/heshima lakn sio kosa lako
 
Nafikiri Id yako inazungumza mengi
 
K Bazil aliwah kuimba wimbo wa riziki nadhani alimlenga Mbwana Samatta na yule Majaliwa wa precission air bukoba

Hawa watu wamepata sifa na utukufu wa bureee

Samatta hajui mpira,kiwango chake ni cha kawaida mno.ni maajabu Samatta kupata dili kucheza ulaya,

Samata anazidiwa na Mayele kwa akili ya kufunga.

Samatta anazidiwa na Chama kwa akili za udambwi udambwi.

Samatta anazidiwa na Msuva na kisinda kwa spidi

Samatta akija Yanga atakaa benchi.

Samatta akija Simba ataingia sub ya Kibu Denis.

Samatta hajui mpira sema ana bahati

Dj tuletee wimbo wa K Bazil unaoitwa Riziki
Wivu ni hatua ya mwisho kabisa kuelekea uchawi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui kwa nini watanzania hatumuheshimu Samatta. Binafsi naamini Samatta ndio mchezaji bora wa muda wote hapa Tanzania namba hazidanganyi.

1. Samatta mwaka 2015 alikuwa mfungaji bora wa CAF Champions league. Akifunga magoli saba.
2. Samatta mwaka 2015 alichukua tuzo ya mchezaji bora Afrika anayecheza ligi ya ndani.
3. Samatta mwaka 2019 alichukua tuzo ya Ebony Shoe award. Tuzo ambayo hutolewa kwa mchezaji bora Mwafrika au mwenye asili ya Afrika anayecheza ligi kuu ya Ubelgiji.
4. Samatta msimu wa 2018-2019 alikuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Ubelgiji (kumbuka sio ligi ya Tz ni Ubelgiji) akifunga jumla ya magoli 20
5. Samatta anaelekea kuwa mfungaji bora wa muda wote wa Timu ya taifa ya Tanzania. Mpaka sasa ana magoli 22 akizidiwa na Mrisho Ngasa pekee mwenye magoli 25.
6. Samatta ndiye mtanzania wa Kwanza kucheza UEFA champions league. Ana magoli 3 UEFA amecheza mechi 6.
6. Samatta ndiye mtanzania wa Kwanza kucheza Europa league na ana mabao 9 ya Europa katika mechi 12.
7. Ndiye mtanzania wa Kwanza kucheza ligi kuu ya Uingereza.
8. Samatta ana medali za ubingwa wa ligi ya Kongo, Ubelgiji na Club bingwa Afrika.
9. Usisahau ndio Mtanzania wa Kwanza kuwafunga Liverpool na Manchester city.

Nitajie mchezaji wa Tanzania mwenye profile kama hiyo ya Samatta. Akipatiakana nipo pale nimekaa Uniite mbwa.

Huyo mtikisa Manyonyo hafikii hata robo ya Samatta. Kuhusu kuchemka Aston Villa hata Chama alichemka hapo Berkane.

Haina haja ya kukuita mbwa. Mbwa ni huyo jamaa uliyeleta mada.
 
Pia mfungaji bora Congo na tulifanikiwa kucheza mataifa Africa shida ya bongo ni usimba na uyanga
 
Kama haya yote hayajui mtoa mada basi yeye ndo tumuite mbwa.
 
Utopolo fala sasa nyinyi. Yaani unamlinganisha Samatta na huyo kilaza wenu. Samatta ashathibitisha ubora wake kwenye mechi kubwa za CAF ukiachilia mbali kule belgium. Huyo Kilaza wenu hana rekodi yoyote ya maana CAF halafu unamlinganisha na Samatta.
 
Back
Top Bottom