acha upotoshaji gentleman,Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.
Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.
Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.
"Mama anasema tuchapwe mikwaju, tutalinda demokrasia ya nchi yetu kama watoto watovu wa adabu".
Baada ya Samia kuharibu taswira yake anamdanganya na Ruto ili wafanane.
Ruto usikubali ushauri huu anataka kukuponza.
Wait & see.
Halafu kwa urahisi tu,Samuya anamshauri Ruto kwamba yeye akiwaua Tanzania amsaidie kuwaua wakosoaji wa Kenya.Kirahisi tu!?Wacha moto uwake.Gen Z wa Kenya wamemkondesha Ruto. Check suti ilivyomvaa
Alienda Ethiopia kwenye mkutano wa AU kwa kujifichaficha.Hajawahi kutoka nje ya nchi
Ukabila upo lkn katiba inau control.acha upotoshaji gentleman,
iliyoko Kenya sio demokrasia bali ni siasa za ukabila uliokomaa na kushamiri vema kulingana na mwanasiasa anakotoka.
Kwa vile wewe sio yeye hujui tu mzigo alionao baada mauaji ya mo29.Mama Samia huwa ananifurahisha sana Kwakweli, the way anavyojua kuwapump hawa wajinga wa lissu na kitima na mwishowe wanajikuta wanaungua kwa hasira za 'kufikirika'. Wakati mijinga hii inaungua, mama la mama, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, anakuwa zake ziarani kufungua miradi kwa Raha zake.
Aisee, hii inapendeza sana.
Unawaza kunya kunya tu.Wakunya wamewazidi akili chadema.
Kila siku mnajifurahisha kwa kusema siasa za Kenya ni za ukabila, hizo siasa zenu za ccm za kujipachika kwa kuiba kura zimewasaidia nini. Mnaua watoto wenu wenyewe kwa kuwateka kila siku halafu mnawanyoshea vidole wenzenu wanaochaguana kidemokrasia kwamba ni ukabila!acha upotoshaji gentleman,
iliyoko Kenya sio demokrasia bali ni siasa za ukabila uliokomaa na kushamiri vema kulingana na mwanasiasa anakotoka.
Na wewe pia, kwakuwa wewe si yeye basi huwezi kuijua au kuihisi raha na amani anayojisikia baada ya kuiokoa nchi kutoka katika jaribio la washenzi flani la kuigawa na kuiharibu.Kwa vile wewe sio yeye hujui tu mzigo alionao baada mauaji ya mo29.
Huyu mama upeo wake wa akili ni mdogo sana. Kazi ya CCM hii. Hata CCM wanachekea pembeni ila wanamwacha kwa sababu wanafaidika kwa ufisadi.Hivi huwa analanduka na bangi au humung'unya kungu pekee?😛😛😛😛
Na wewe pia, kwakuwa wewe si yeye basi huwezi kuijua au kuihisi raha na amani anayojisikia baada ya kuiokoa nchi kutoka katika jaribio la washenzi flani
Angekuwa ana raha na amani kusingekuwa na sababu ya kulipa PR Company ya Marekani 45,000$ kwa mwezi ioshe reputation yake,Hata kulipia bots ili zifanye mabadiliko ya story na kumpambania…Na wewe pia, kwakuwa wewe si yeye basi huwezi kuijua au kuihisi raha na amani anayojisikia baada ya kuiokoa nchi kutoka katika jaribio la washenzi flani la kuigawa na kuiharibu.
Pole, kamwambie kitima na TEC yake wajipange upya!Angekuwa ana raha na amani kusingekuwa na sababu ya kulipa PR Company ya Marekani 45,000$ kwa mwezi ioshe reputation yake,Hata kulipia bots ili zifanye mabadiliko ya story na kumpambania…
Basi aendelee kuua ili aiokoe nchi zaidi.Na wewe pia, kwakuwa wewe si yeye basi huwezi kuijua au kuihisi raha na amani anayojisikia baada ya kuiokoa nchi kutoka katika jaribio la washenzi flani la kuigawa na kuiharibu.