kenya hakuna siasa wala demokrasia bali majivuno na ubaguzi wa kikabila tu,Kila siku mnajifurahisha kwa kusema siasa za Kenya ni za ukabila, hizo siasa zenu za ccm za kujipachika kwa kuiba kura zimewasaidia nini. Mnaua watoto wenu wenyewe kwa kuwateka kila siku halafu mnawanyoshea vidole wenzenu wanaochaguana kidemokrasia kwamba ni ukabila!
katiba ya gavana wa kikabila kumtukana rais wa nchi, right?Ukabila upo lkn katiba inau control.
Kwa Tanzania kumwambia Samia umekosea ni kujitafutia kutekwa.katiba ya gavana wa kikabila kumtukana rais wa nchi, right?
hayo ni mawazo mgando kama hayo ni ya mtu aliepoteza uelekeo wa kisiasa na asie na agenda wala hojaKwa Tanzania kumwambia Samia umekosea ni kujitafutia kutekwa.
Ni kweli kwa sasa Samia hana mwelekeo.hayo ni mawazo mgando kama hayo ni ya mtu aliepoteza uelekeo wa kisiasa na asie na agenda wala hoja
Shetani anatafuta wafuasi wa kwenda naye the HagueKenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.
Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.
Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.
"Mama anasema tuchapwe mikwaju, tutalinda demokrasia ya nchi yetu kama watoto watovu wa adabu".
Baada ya Samia kuharibu taswira yake anamdanganya na Ruto ili wafanane.
Ruto usikubali ushauri huu anataka kukuponza.
Wait & see.
UPDATES:
Asante Ruto kwa kukataa ushauri wa Samia. Samia anachojua kusolve tatizo ni kuua.
View attachment 3584264