Hivi Samia hasomi japo maoni ya watu?

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Nje ya kurasa za CCM na IKULU hakika unapoanzishwa mjadala umhusuyo Samia watu wanaponda tena waziwazi na hawaogopi siku hizi!

Mfano ipo mada ya Samia kuitaka CRDB iharakishe ujenzi wa uwanja kule Kizimkazi wachangiaji wametema nyongo hatari!

Hasomi maoni ya watu?!
 
Kwani hukumsikia, alishajibiaa hili suala la yeyee kusakamwaa mitandaoni??
 
Tatizo chawa
 
actually,
masuala madogo madoko kama hayo ambayo si hatari na wala hayana athari zozote za kisiasa, bali faida kwa uchumi wa watu hususani wa eneo husika,

mathalani ikitemwa nyongo au cheche itasaidia nini kwa mfano 🐒
 
Asome sasa ili iweje?

Panua wigo mpana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…