jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Yule msanii aliekuwa anaitwa Samir amepotelea wapi? alie hit na kinyulinyuli pamoja na nitamchezea aliemshirikisha ney wa mitego?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahc hata haka kamsemo kana ukwel wake mademu wenye sura chachu wana papuchi tamu ,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa alikuwaga na sura chachuu kishenzi
Ila sauti sasa ilikuwa ndo shida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nahc hata haka kamsemo kana ukwel wake mademu wenye sura chachu wana papuchi tamu ,
Yupo mzee wanguNaskia Aliumwa sana, bado yupo hai?
Naskia Aliumwa sana, bado yupo hai?
Kuna yule jamaa aliimba "Busu Lako", anaitwa Juma 20, naye sijui yuko wapi siku hizi..
View attachment 3130554