Ni ghafilika mkuu swaumu ilikuwa tite
Kulikuwa na wachezaji gani wengine wazuri zaidi ya wale ?
Jibu la nini hilo mkuu ?Haya basi jibu hili swali hapa chini, maana unalipita kama vile hulioni, vinginevyo funga uzi
Kulikuwa na wachezaji gani wengine wazuri zaidi ya wale ?Jibu la nini hilo mkuu ?
Ndio alikuwa forward wa Brazil huyu jamaa nilikuwa simkubali eti anamweka wilian bench
Hawakuwa na namna hivyo ilikuwa lazima wakusanye hao vilaza.Kulikuwa na wachezaji gani wengine wazuri zaidi ya wale ?
Hulk alikuwa hachezi kama striker alikuwa right wing.Ndio alikuwa forward wa Brazil huyu jamaa nilikuwa simkubali eti anamweka wilian bench
Sent using Jamii Forums mobile app
Dante alipata nafasi baada ya Thiago Silva kuumia hivyo wakawa hawana namna zaidi ya kumchukua Dante.
Ile ya dunga 2010 aliwaacha gaucho na neymar ikaja kutolewa kipumbavu
Coutinho.
Coutinho.
Douglas costa.
Miranda.
Filipe Luis.
Kwa Miranda wengi walisema kuwa Scolari alichemsha lakini kipindi hicho David Luiz alikuwa bora sana pale Chelsea.Coutinho.
Douglas costa.
Miranda.
Filipe Luis.
Kuna mechi mwaka jana Agentina waliifunga Brazil 5 kwa 1; Allison sijui alikua anafanya makusudi au laa.Brazil toka kizazi cha kina Gaucho kilipoisha hawakuwa na talents zingine nzuri hasa eneo la midfield na striking force.
Hata sasa tatizo ni hilo hilo na kibaya zaidi hata zinapoibuka talents ni short lived zinapotea.
Hebu jaribu kuangalia kwenye ligi zote kubwa duniani hakuna mchezaji wa kibrazil aliyeko kwenye top form kwenye maeneo mengine except Allison Becker wengine ni average players.
Hivyo hata 2014 hawakuwa na namna zaidi ya kuchukua hao vilaza wazuri angalau wangeweza kuwafikisha Mahali fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikusikia hiyo labda walichezea gheto kwakoKuna mechi mwaka jana Agentina waliifunga Brazil 5 kwa 1; Allison sijui alikua anafanya makusudi au laa.
Thiago Silva amestaafu sasa sijui wanabeki gani mwingine wa maana ambaye anaweza kuvaa viatu vyake.Kuna mechi mwaka jana Agentina waliifunga Brazil 5 kwa 1; Allison sijui alikua anafanya makusudi au laa.
Gheto kwangu kuna uwanja wa mpira? si uangalie youtube utaiona.
Ingia Youtube uangalie yale magoli aliyofungwa Allison ni kama alilewa pombe vile.Thiago Silva amestaafu sasa sijui wanabeki gani mwingine wa maana ambaye anaweza kuvaa viatu vyake.
Kufungwa huwa kupo tu timu nzima ikizidiwa hata kama golikipa awe mzuri vipi atafungwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app