Hivi scolari aliwaza nini kuchagua brasili mbovu vile 2014

Hivi scolari aliwaza nini kuchagua brasili mbovu vile 2014

1588069609933.png
 
Ndio alikuwa forward wa Brazil huyu jamaa nilikuwa simkubali eti anamweka wilian bench

Sent using Jamii Forums mobile app
Hulk alikuwa hachezi kama striker alikuwa right wing.

Scolari alimprefer Hulk badala ya Willian ilikuongeza Physicality kwenye midfield ambayo alikuwa na wachezaji wengi ambao physically hawakuwa vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coutinho.
Douglas costa.
Miranda.
Filipe Luis.
Kwa Miranda wengi walisema kuwa Scolari alichemsha lakini kipindi hicho David Luiz alikuwa bora sana pale Chelsea.

Kwa Filipe Luis hata kama ni wewe upewe chaguo kati ya Filipe Luis na Marcelo ungemchagua Marcelo.

Douglas Costa over Neymar ungemchagua nani hapa ?

Coutinho over Oscar ungeweza kumchukua nani ? Oscar huenda alikuwa preferable kwa sababu ya Physicallity na conversion rate yake ilikuwa kubwa ukilinganisha na Coutinho.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brazil toka kizazi cha kina Gaucho kilipoisha hawakuwa na talents zingine nzuri hasa eneo la midfield na striking force.

Hata sasa tatizo ni hilo hilo na kibaya zaidi hata zinapoibuka talents ni short lived zinapotea.

Hebu jaribu kuangalia kwenye ligi zote kubwa duniani hakuna mchezaji wa kibrazil aliyeko kwenye top form kwenye maeneo mengine except Allison Becker wengine ni average players.

Hivyo hata 2014 hawakuwa na namna zaidi ya kuchukua hao vilaza wazuri angalau wangeweza kuwafikisha Mahali fulani.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mechi mwaka jana Agentina waliifunga Brazil 5 kwa 1; Allison sijui alikua anafanya makusudi au laa.
 
Kuna mechi mwaka jana Agentina waliifunga Brazil 5 kwa 1; Allison sijui alikua anafanya makusudi au laa.
Thiago Silva amestaafu sasa sijui wanabeki gani mwingine wa maana ambaye anaweza kuvaa viatu vyake.

Kufungwa huwa kupo tu timu nzima ikizidiwa hata kama golikipa awe mzuri vipi atafungwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom