Hivi Selemani Mwalimu ni bora kuliko Kibu D na Feisal Salum!!

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Inakuaje yeye acheze kwenye timu yenye mpunga mrefu na ambayo ni rahisi kuonekana zaidi kwenye soko , halafu eti Feisal Salum na Kibu Denis wabaki kwenye ligi hii iliyojaa ubabaishaji.

Kwa mtazamo wangu ninaona Feisal Salum na Kibu Denis ni wachezaji wakubwa zaidi ya Selemani Mwalimu.

Hivi ilikuaje Selemani Mwalimu akatoboa ili hali ni wa kawaida tu
 
Hao watu uliowataja wana mikataba migumu kwenye timu zao kuondoka labda wawe free,pia nadhani pamoja na Mwalimu kucheza Wydad sidhani kama kwa mishahara anawafikia.
Mengine ni connection pia watu kama kina Sawadogo,Yikpe na Sapong usingetegemea wangecheza Yanga na Simba kama siyo connection.
 
Kwanza unalinganisha wachezaji watatu wanaocheza nafasi tofauti..
Feisal - ni kiungo mkabaji( Kiasili japo mara nyingi uchezaga kama kiungo mshambuliaji)
Selemani mwalim -ni mfungaji.
Kibu d - kiungo wa pembeni (winga)

narudi kwenye swali lako..
Wydad wakat walipomsajili seleman mwalim walikuwa na shida ya mfungaji.. hawakutaka kiungo wala winga..

Nakujibu kijiweni..
seleman mwalim inawezekana nyota yake iko vzr kuliko hao wengine.. au anaroga sana
 
Je, Sakho alivyouzwa na Simba kwenda timu ya Ufaransa alikuwa mchezaji bora zaidi kwenye kikosi?
 
Kufanya kazi sana tena zenye nguvu sio kukufanya kuwa tajiri😂😂.
Mafanikio ni kudra za mwenyezi mungu na juhudi kidogo za mwanadam!.
 
Ni mimi tu naona manguvu bila kipaji chochote kwa huyu mchezaji! poor ball control, poor attacking spaces, just running around like headless chicken🚮

Huyu hakai kwa muarabu misim 2, Mark my words 🦾
 
Mambo yanatawala mafanikoo;
-Bahati
-Bidii
-Connections

Nahisi Seleman Mwalimu ana bahati iliyochochewa na connection nzuri ya wakala wake. Wyda ni timu kubwa Afrika si kazi rahis kupata fursa pale.

Mwalimu anaenda Marekani kucheza kombe la Dunia la vilabu
 
Connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…