inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
Wydad hawasajili kwa connection, acheni ujingaConnection
Wydad hawasajili kwa connection, acheni ujingaConnection
Mnashangaa nini sasa kusajiliwa Mwalimu(wakawaida) na kuachwa Kibu na Fei (wanaokiwasha) kama si ujinga uliochanganyika na upumbavu?Wydad hawasajili kwa connection, acheni ujinga
Hivi dogo sele huko widad anapataga namba?.
Ngoja tuone, ila huyo jamaa na aziz mobeto sioni namna wanaweza kudumu hapo, mwaka kesho sio mbali tutawapokea pale airport.Huwa anapata nafasi ya kucheza kwa dakika chache sana, hasa gemu za ligi
Pia majuzi friend Match vs Porto ya Ureno aliingia Dk ya 78
Kwa age yake (20) wanamuona ni future promising player, hivyo Wydad wanaamini wakikaa nae msimu mmoja zaidi ataweza kuadopt mazingira ya club, ushindani ndani ya timu na Ligi kwa ujumla
Hivi ilikuaje Selemani Mwalimu akatoboa ili hali ni wa kawaida tu
Hata kama humpendi lakini Kibu Denis ni striker wa kiwango cha juu kuliko yeyote hapa Tz. Sema tu kaamua kukomaa hapahapa.Sasa Kibu nae ni mchezaji?