Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Changamoto ni nyingi lakini hiyo ya mishahara midogo haisikiki? Ni wimbo wa miaka mingi sana.
Baada ya sera ya elimu bure wazazi hata kununua uniform ni kazi.
Kuwalipia watoto chakula imekuwa ngumu.
Serikali inashindwaje kuwapa walimu usafiri,waachane na Mambo ya bodaboda kila wkt (kama vipi wawape transport allowance) ihusike.
Ni vgm sana kujenga nyumba za walimu hata kata Moja. Kwanini hawapewi house allowance tu?
Yakifanyika hapo hata Heshima ya hiyo kazi ya Ualimu itakuwa kubwa na kwa wingi wa watoto mashuleni basi kazi itafanyika vzr