Poleni sanaChangamoto ni nyingi lakini hiyo ya mishahara midogo haisikiki? Ni wimbo wa miaka mingi sana.
Baada ya sera ya elimu bure wazazi hata kununua uniform ni kazi.
Kuwalipia watoto chakula imekuwa ngumu.
Serikali inashindwaje kuwapa walimu usafiri,waachane na Mambo ya bodaboda kila wkt (kama vipi wawape transport allowance) ihusike.
Ni vgm sana kujenga nyumba za walimu hata kata Moja. Kwanini hawapewi house allowance tu?
Yakifanyika hapo hata Heshima ya hiyo kazi ya Ualimu itakuwa kubwa na kwa wingi wa watoto mashuleni basi kazi itafanyika vzr
Changamoto hizo mbona haziwakumbi wabunge piaserikali yenyewe ina changamoto zake
wabunge ni walinzi wa maslahi ya chama, hamna kitu hapoChangamoto hizo mbona haziwakumbi wabunge pia
Tangu lini mshahara ukatosha? Mbunge analipwa milioni 12 kwa mwezi, na bado analalamika hiyo ni oesa ndogo kwake.Changamoto ni nyingi lakini hiyo ya mishahara midogo haisikiki? Ni wimbo wa miaka mingi sana.
Baada ya sera ya elimu bure wazazi hata kununua uniform ni kazi.
Kuwalipia watoto chakula imekuwa ngumu.
Serikali inashindwaje kuwapa walimu usafiri,waachane na Mambo ya bodaboda kila wkt (kama vipi wawape transport allowance) ihusike.
Ni vgm sana kujenga nyumba za walimu hata kata Moja. Kwanini hawapewi house allowance tu?
Yakifanyika hapo hata Heshima ya hiyo kazi ya Ualimu itakuwa kubwa na kwa wingi wa watoto mashuleni basi kazi itafanyika vzr
Hahaha! Mwalimu ameumbwa na huruma sana. Huwezi kufundisha, mtoto mwingine yupo uchi yaani hana nguoTangu lini mshahara ukatosha? Mbunge analipwa milioni 12 kwa mwezi, na bado analalamika hiyo ni oesa ndogo kwake.
Walimu mnatakiwa kujiongeza kwa kujishughulisha na biashara, kikimi, ufugaji, uwekezaji, uchuuzi, nk. Ili kujiongezea kipato.
Acheni kupoteza muda wenu mwingi kwenye kufanya kazi tu. Mtakufa masikini. Hizo changamoto nyingine za chakula cha wanafunzi, sijui unifomu! Hazikuhusu.
Unatakiwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kuijenga familia yako, na pia maisha yako kwa ujumla. Usifikirie hii serikali ya ccm, itakuletea maajabu. Unatakiwa upambane.
Watoto wanajikojolea na kujinyea yeye ndoanawasafisha! Hii ni laanaHahaha! Mwalimu ameumbwa na huruma sana. Huwezi kufundisha, mtoto mwingine yupo uchi yaani hana nguo
Bahati nzuri, watoto wengi huanza shule wakiwa wamevuka umri wa kujinyea labda itokee kitoto kinaumwa. Na ikitokea hivyo mzazi hushirikishwa, kazi ya ualimu sio laana ni kazi za kitume. Mitume wote wa Mungu walikuwa ni walimu!Watoto wanajikojolea na kujinyea yeye ndoanawasafisha! Hii ni laana
Mambo ya kishetani ndio yanalipa sio kitume.Bahati nzuri, watoto wengi huanza shule wakiwa wamevuka umri wa kujinyea labda itokee kitoto kinaumwa. Na ikitokea hivyo mzazi hushirikishwa, kazi ya ualimu sio laana ni kazi za kitume. Mitume wote wa Mungu walikuwa ni walimu!
Kwahiyo kila mmoja awe mbunge ?Mambo ya kishetani ndio yanalipa sio kitume.
Eg Ubunge v/s Ualimu
Ukweli tusitegemee serikali kujali sekta hii, maana wanaofanya maamuzi watoto wao wanasoma nje au private za gharama. Tujiwazie sisi watu wa daraja la chini na kati... Ukiendelea kutegemea serikali tegema mwanao kulala Doro, tu Jitume kusaidiana na shule ktk kulipa michango na kuweka mazingira salama kwa mwalimu ktk kufundisha... Mzazi ukiambiwa Mchangia 500,changia umpe hamasa mwalimu... Sio mnakaza wakati wanavuja damu kuondoa ujinga kwa mwanaoMambo ya kishetani ndio yanalipa sio kitume.
Eg Ubunge v/s Ualimu
Umeeleza vizur na kama nimekuelewa ..umemaanisha wao watajiju wewe unaendeleanna mambo yakoTangu lini mshahara ukatosha? Mbunge analipwa milioni 12 kwa mwezi, na bado analalamika hiyo ni oesa ndogo kwake.