Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
Mkazi Mmoja huko Mkoani Mtwara amewashangaza na hadi leo Kuwaacha Hoi Wananchi huko baada ya Kuanzisha Duka lake la Kuuza Bidhaa mbalimbali tokea Miezi Minne iliyopita ila huwa halifungi kabisa huku ikifika Usiku analiacha hivyo hivyo na kwenda zake Kulala eneo lingine lakini hakuna chochote Kinachoibiwa wakati eneo lililopo kuna Vibaka, Wezi na Majambazi Waandamizi.
Chanzo: ITV Tanzania
Kuna Mtu Mmoja nakumbuka huko nyuma aliwahi kuniambia nicheze na Uchawi kote ila Mikoa ya Mtwara na Lindi ni Habari nyingine na usipime.
Chanzo: ITV Tanzania
Kuna Mtu Mmoja nakumbuka huko nyuma aliwahi kuniambia nicheze na Uchawi kote ila Mikoa ya Mtwara na Lindi ni Habari nyingine na usipime.