Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Simon mchawi by Matendo ya MitumeOtherwise uniambie hata biblia huiamini kama wewe ni christian
9 Na mtu mmoja, jina lake Simoni, hapo kwanza alikuwa akifanya uchawi katika mji ule, akiwashangaza watu wa taifa la Wasamaria, akisema ya kuwa yeye ni mtu mkubwa.
Matendo ya Mitume 8:9
10 Wote wakamsikiliza tangu mdogo hata mkubwa, wakisema, Mtu huyu ni uweza wa Mungu, ule Mkuu.
Matendo ya Mitume 8:10
11 Wakamsikiliza, kwa maana amewashangaza muda mwingi kwa uchawi wake.
Matendo ya Mitume 8:11
Sent using Jamii Forums mobile app