Kayajaza ujinga hapo kijijini yameamini yaanamini jamaa mchawiKudanganyana tu na kutishana. Uchawi hauexist.. period!..
Nenda basi kachukue tu bublish.Kudanganyana tu na kutishana. Uchawi hauexist.. period!..
Bubblish unavyopuliza puto, p*mbu zinajaa,😀 na hiyo bubblish utatafuna mpaka aje yeye akuambie acha.Nenda basi kachukue tu bublish.
Ni kweli kabisa uchawi hau exist. Ukiona mtu anakuja na nadharia hizi ujue huyo ni WICHAM ConcordKudanganyana tu na kutishana. Uchawi hauexist.. period!..
Otherwise uniambie hata biblia huiamini kama wewe ni christianKudanganyana tu na kutishana. Uchawi hauexist.. period!..
Kamuulize alimfanya Kibaka akachapa uongozi ndani ya gari baada ya kuiba kule zenjKudanganyana tu na kutishana. Uchawi hauexist.. period!..
Uongozi -UsingiziKamuulize alimfanya Kibaka akachapa uongozi ndani ya gari baada ya kuiba kule zenj
Lindi na Mtwara ipo kwenye top 10 pamoja na Mwanza, Shinyanga, Geita, Tanga, Kigoma, Rukwa, Ruvuma, Iringa na Mbeya.Mkazi Mmoja huko Mkoani Mtwara amewashangaza na hadi leo Kuwaacha Hoi Wananchi huko baada ya Kuanzisha Duka lake la Kuuza Bidhaa mbalimbali tokea Miezi Minne iliyopita ila huwa halifungi kabisa huku ikifika Usiku analiacha hivyo hivyo na kwenda zake Kulala eneo lingine lakini hakuna chochote Kinachoibiwa wakati eneo lililopo kuna Vibaka, Wezi na Majambazi Waandamizi.
Chanzo: ITV Tanzania
Kuna Mtu Mmoja nakumbuka huko nyuma aliwahi kuniambia nicheze na Uchawi kote ila Mikoa ya Mtwara na Lindi ni Habari nyingine na usipime.
Wewe unaiamini? Umeisoma yote kwa utulivu na kuinyambua kifasihi? Au ni wale wale ukitakiwa kuelezea hoja unakimbilia kusema ' imeandikwa'? Za kuambiwa ongeza na za kwako.Otherwise uniambie hata biblia huiamini kama wewe ni christian
[emoji23][emoji23][emoji848][emoji848]kwanini asituloge akawa rais!
Naam nimewahi kuona clip yakeHuyu mwamba bado hajafuzu vizuri, Mwandulami huko Njombe alikuwa anapanga vitu pembeni anaweka machenchi, ukihitaji bidhaa unajichagulia na chenchi unachukua, huku yeye akiwa anahudumia wateja au kapumzika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asipokuambia acha ndo utakomaBubblish unavyopuliza puto, p*mbu zinajaa,😀 na hiyo bubblish utatafuna mpaka aje yeye akuambie acha.
Watu wana mazingaombwe!
Everyday is Saturday........................😎