Moderators mnaharibu nyuzi za watu, Thread yangu nauliza " kwanini WATAWALA bado wanaishi DAR ikiwa serikali iko Dodoma"? Nyie mnaniwekea habari za Kuporomoka maghorofa kariakoo. Bora mge weka Picha ya SSH na WATAWALA Wakiwa uwanja wa ndege wa JK wakimsindikiza aki elekea Brazil kula bata.Leo nimeona WATAWALA wana wahi kwenye eneo la MAJANGA kariakoo, ni kwamba wanaishi hapa hapa DAR es Salaam au waliletwa kutokea Dodoma?
Kama bado wapo Dar es Salaam, nani alienda Dodoma? na Kwanini wao bado wanaishi Dar es Salaam badala ya kuwa Dodoma?
PIA SOMA
- LIVE - Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi bado unaendelea, zoezi halijasitishwa
Sasa ungeandika wewe habari yako toka juzi huko..Moderators mnaharibu nyuzi za watu, Thread yangu nauliza " kwanini WATAWALA bado wanaishi DAR ikiwa serikali iko Dodoma"? Nyie mnaniwekea habari za Kuporomoka maghorofa kariakoo.
Yani hii ni kufifisha uzito wa uzi husika. Wao wanadhani nchi nzima tunapaswa kujua taarifa za ghorofa lililo poromoka kariakoo?Sasa ungeandika wewe habari yako toka juzi huko..
Ili leo wangekua wanaolalamika wengine kwa kuwekewa nyuzi zao kwenye nyuzi yako 😂😂😂😂😂
Swali langu je hawa WATAWALA wanaishi Dar au Wanaishi Dodoma? Majanga haya wahusu wao kuna Wakuu wa mikoa husika hizo ndio kazi zao ku ratibu team za ke respond kwenye emergencies.Viongozi ngazi ya kitaifa ni popote anytime ndani ya mipaka ya JMT. Matukio yote magumu tumewaona instantly tangu kule Hanang, Rufiji, n.k.
Mkuu hii wanayofanya ina rahisisha mtu kujua.. why umeandika vile je source kubwa ni nini...Yani hii ni kufifisha uzito wa uzi husika. Wao wanadhani nchi nzima tunapaswa kujua taarifa za ghorofa lililo poromoka kariakoo?
Nandhani kwa uelewa wa moderator wetu ni kwamba hiyo ni breaking news kwa watanzania wote. Hii ni habari inawahusu wakazi wa Ilala, na Kinondoni kwa sababu ndio wanao fika huko Kariakoo kila siku.
Wangeweka habari inayo shabihihana na yangu, au waweke picha ya WATAWALA wakiwa uwanja wa ndege JK wanamuaga SSH.Mkuu hii wanayofanya ina rahisisha mtu kujua.. why umeandika vile je source kubwa ni nini...
Ndio maana hawaunganishi habari ya mtu aliyetoa uzi wa mafuta ya petroli kuwekwa kwenye plastic...
Wameunganisha na wako kuleta mtililiko mzuri .. huu uzi wako utaishi miaka na miaka hapa
Mkuu,Hii ni habari inawahusu wakazi wa Ilala, na Kinondoni kwa sababu ndio wanao fika huko Kariakoo kila siku.
Wanataka wakuchokoze tu BEA..Mkuu,
Upo serious na ulichokiandika?
Watu wa Wilaya za Ubungo, Temeke na Kigamboni hawaendagi Kariakoo?
Usidandie treni kwa mbele, fuata mtiririko wa uzi utaelewa, Kwa hiyo kwa uelewa wako unadhani watanzania wote tunayafahamu vitongoji ya Dar es Salaam? Nikitaja viwili, vinatosha hiyo ni habari kwa watu wa Dar, siyo Tanzania nzima. Unafahamu ninaposhi mimi Tanganyika hii? Ulitaka niwe serious kiasi gani?Mkuu,
Upo serious na ulichokiandika?
Watu wa Wilaya za Ubungo, Temeke na Kigamboni hawaendagi Kariakoo?
Amani itawale mkuuUsidandie treni kwa mbele, fuata mtiririko wa uzi utaelewa, Kwa hiyo kwa uelewa wako unadhani watanzania wote tunayafahamu vitongoji ya Dar es Salaam? Nikitaja viwili, vinatosha hiyo ni habari kwa watu wa Dar, siyo Tanzania nzima. Unafahamu ninaposhi mimi Tanganyika hii? Ulitaka niwe serious kiasi gani?
Ndio uzi kwanza umeanza, hawajaja watanganyika, nawasubiria walete majibu.Amani itawale mkuu
Turudi kwenye mada yako, je umepata majibu ya swali lako kuhusu Serikali?
Hawaendagi ina maana gani?Mkuu,
Upo serious na ulichokiandika?
Watu wa Wilaya za Ubungo, Temeke na Kigamboni hawaendagi Kariakoo?
bwana we hiv we dodoma unapajua unapaskia? chinangali unaijua? swaswa? wewe unaataka kujua vio goz wanalalq wap? ili iweje mzee. una kaz yako labda ulikwamishwa kwa kua biwa mtu hayupo? si mambo yanaenda vizur tu. kwanza siku hiz masaa 2.5 chap kwaSwali langu je hawa WATAWALA wanaishi Dar au Wanaishi Dodoma? Majanga haya wahusu wao kuna Wakuu wa mikoa husika hizo ndio kazi zao ku ratibu team za ke respond kwenye emergencies.
Wanaishi Dodoma,na wizara zote ziko Dodoma tayari,sio majengo tu hata wafanyakazi wa hizo wizara wanaishi Dodoma.Hili tukio lingetokea katikati ya wiki ungewaona kwa uchache sana huko,ila mara nyingi kuanzia ijumaa wengi wanarudi Dar ambako familia zao zipo,ndio maana hata kupata usafiri Dodoma-Dar siku za wikiend ni kazi sana.Muhimu pia kujua,hali ya usafiri wa Dar-Dodoma iko vizuri sana,kuanzia ndege,mabasi na sasa SGR....Swali langu je hawa WATAWALA wanaishi Dar au Wanaishi Dodoma? Majanga haya wahusu wao kuna Wakuu wa mikoa husika hizo ndio kazi zao ku ratibu team za ke respond kwenye emergencies.
Matukio ya maafa wanatakiwa kuwahi waokoaji na watoa huduma na siyo viongozi wa siasa waliofeli. Ni kwa sababu tu nchi yetu ina raia wajinga lakini ilitakiwa wafukuzwe kwa sababu haya mambo yanatokea kwa sababu ya uzembe wao. Na wengi wanakimbilia eneo husika wakiwa na shauku ya ''kujionea'' na kufanya usanii na siyo kwa sababu wanatakiwa.Viongozi ngazi ya kitaifa ni popote anytime ndani ya mipaka ya JMT. Matukio yote magumu tumewaona instantly tangu kule Hanang, Rufiji, n.k.
Aliyeharibu ni huyu mama yenu na wchawa wake. Ukirejea kumbukumbu kwenye jukwaa hili kuna baadhi ya wanajf waliwahi kutoa dokezo kwamba pamoja na Magufuli kuswaga watumishi wote kuhamia Dodoma akiondoka ni lazima watarejesha Dar Es Salaam.Leo nimeona WATAWALA wana wahi kwenye eneo la MAJANGA kariakoo, ni kwamba wanaishi hapa hapa DAR es Salaam au waliletwa kutokea Dodoma?
Kama bado wapo Dar es Salaam, nani alienda Dodoma? na Kwanini wao bado wanaishi Dar es Salaam badala ya kuwa Dodoma?
PIA SOMA
- LIVE - Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi bado unaendelea, zoezi halijasitishwa