- Thread starter
- #21
Kwa hiyo unadhani tunahitaji kumfufua Magufuli awarudishe Dodoma au kuna namna wananchi tunaweza kuwawajibisha kwa kuwakumbusha kwamba wanatutia Hasara kwa safari za Dar-Dodoma-Dar kila siku.Aliyeharibu ni huyu mama yenu na wchawa wake. Ukirejea kumbukumbu kwenye jukwaa hili kuna baadhi ya wanajf waliwahi kutoa dokezo kwamba pamoja na Magufuli kuswaga watumishi wote kuhamia Dodoma akiondoka ni lazima watarejesha Dar Es Salaam.
Hiki ndicho kilichofanyika na aalikuwa miongoni mwa wale waliokuwa wakimteta vibaya JPM ndio alipoondoka tu miradi yote ya unjenzi imehamishiwa Dar na Pwani na sio kuiwezesha Dodoma kubadilika kuwa kijani na yenye uoto wa maji mwaka mzima kwa kutumia njia sahihi kuhifadhi mazingira rafiki kwa uhai na kuchochea maendeleo ya viwanda na biashara. Bidhaa nyingi zinazopatikana Dodoma zinatoka Nairobi au Mombasa sio Dar Es Salaam.
Kama hawakutaki Dodoma basi tuhamie Zanzibar, au Tutangaziwe turejee Dar, siyo wao kuishi Dar halafu vikao Dodoma.