Hivi Serikali ilipohamia Dodoma ilikuwa ni Majengo na Ofisi lakini Watawala walibaki DAR?

Kwa hiyo unadhani tunahitaji kumfufua Magufuli awarudishe Dodoma au kuna namna wananchi tunaweza kuwawajibisha kwa kuwakumbusha kwamba wanatutia Hasara kwa safari za Dar-Dodoma-Dar kila siku.
Kama hawakutaki Dodoma basi tuhamie Zanzibar, au Tutangaziwe turejee Dar, siyo wao kuishi Dar halafu vikao Dodoma.
 
Hahaha unavituko sana, Kwanini familia zao ziko Dar kama wamehamia Dodoma? Familia zao zina Allegy na Dodoma au ndio kutuingiza wananchi gharama kwa starehe zao? kama Dodoma hapa stahili kuishi kwanini walihamishia ofisi huko?
Usafiri unatakiwa uwe mzuri nchi nzima siyo tu Dodoma-Dar-Dodoma. Kigezo cha usafiri kuwa mzuri wakati wanatumia gharama kwa KODI zetu ni ubwenyenye, wao HAWALIPI KODI, na wanalipwa mishahara minono, na WAMEJIONGEZEA stahiki za pension bila ridhaa yetu. Hivyo kuishi Dodoma iswe option ni lazima kwa sababu tunawalipa sisi.

Na kama week end ipo dunia nzima hata Dodoma kuna Ijumaa ,jumamosi na Jumapili.
 
bwana we hiv we dodoma unapajua unapaskia? chinangali unaijua? swaswa? wewe unaataka kujua vio goz wanalalq wap? ili iweje mzee. una kaz yako labda ulikwamishwa kwa kua biwa mtu hayupo? si mambo yanaenda vizur tu. kwanza siku hiz masaa 2.5 chap kwa
Hahah kama hakufai kuishi kwanini wanatulaghai kwamba wamehamia Dodoma ili hali wakienda na kurudi kila siku kwa gharama zetu?
 
Mkuu unacheza na kuishi Idodomya, vumbi kama lote na full kupauka
 
Mkuu nadhani umesahau kwamba hii ni serekali ya mama, dhaifuu kuliko hata ile ya jk!
Udhaifu wake unauhusiano gani na kuhamia Dodoma? Waende na Waishi DODOMA waachae ujanja ujanja.
 
Aliyeharibu ni Jiwe, alikurupuka kwenye hili, kulikuwa na umuhimu gani wa Serikali kuhamia dodoma bila kuwashirikisha wenzie? Ndiyo maana kila mmoja alijua tu kuwa akisepa watu wanarudi jijini. Dodoma hapafai hata kidogo. Hata uwe na pesa kaa mwezi mmoja tu huko Dodoma then angalia hali ya ngozi yako na macho
 
Mkuu Dodoma hali ya hewa ni mbaya huko Dodoma. Kakae mwezi mmoja tu hata kama unashinda kwenye friji utajishangaa hali ya macho na ngozi yako
Kwa pesa wanayo jilipa wanastahili kuishi jela, huko Dodoma ni kama wake Peponi. Kama ni kubaya mbona Bungeni wanakwenda, huwa wanaishi wapi kipindi cha bunge?
Wanatuongezea mzigo wa gharama kila siku wakiwa Dar, wake huko huko, wanavyohitaji waagize tuwapelekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…