Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Nimewaza hapa nikaona kuwa inawezekana huu mgao mkali wa umeme ni serikali haina pesa ya kununulia gesi ya kutosha. Naomba kufahamu serikali inanunua gesi kwa kutumia pesa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Mwezi wa tatu 2024..Maza alitoa ultimatum kwamba baada ya Dec 26 asisikie umeme ukikatika.