Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,726 Reaction score 3,391 Dec 21, 2023 #1 Nimewaza hapa nikaona kuwa inawezekana huu mgao mkali wa umeme ni serikali haina pesa ya kununulia gesi ya kutosha. Naomba kufahamu serikali inanunua gesi kwa kutumia pesa gani?
Nimewaza hapa nikaona kuwa inawezekana huu mgao mkali wa umeme ni serikali haina pesa ya kununulia gesi ya kutosha. Naomba kufahamu serikali inanunua gesi kwa kutumia pesa gani?
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Dec 21, 2023 #2 ..Maza alitoa ultimatum kwamba baada ya Dec 26 asisikie umeme ukikatika.
A August JF-Expert Member Joined Jun 18, 2007 Posts 9,327 Reaction score 5,206 Dec 21, 2023 #3 JokaKuu said: ..Maza alitoa ultimatum kwamba baada ya Dec 26 asisikie umeme ukikatika. Click to expand... Sio Mwezi wa tatu 2024
JokaKuu said: ..Maza alitoa ultimatum kwamba baada ya Dec 26 asisikie umeme ukikatika. Click to expand... Sio Mwezi wa tatu 2024
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Dec 21, 2023 #4 Kila kaya ianze kufikiria namna ya kupata nishati