Hivi serikali inatowa wapi uwezo wa kubishana na satellite(teknolojia)?

Hivi serikali inatowa wapi uwezo wa kubishana na satellite(teknolojia)?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!

Nimemsikiliza msigwa duh, katika dunia ya sasa hivi wanaonekana kama wana mental-disorder.

Hivi ushahidi kama ule uliofanyiwa utafiti na kuthibitishwa kwa technolagia ya hali ya juu,leo wewe mbuzi unayeishi kiprimitive unapata wapi confidence ya kuja kubishana na ukweli kama ule uliothibitishwa kisayansi na kitechnogia?

Naanza kumuamini yule mzungu baada ya kuona haya mauwaji ya Tanzania akasema uwenda muafrika bado hajakamilika kuwa mwanadamu kamili.
 
Anatetea kibarua.. as far as propaganda is concerned anahitaji kubaki kwenye "payroll"
 
Hivi ushahidi kama ule uliofanyiwa utafiti na kuthibitishwa kwa technolagia ya hali ya juu,leo wewe mbuzi unayeishi kiprimitive unapata wa confidence ya kuja kubishana na ukweli kama ule uliothibitishwa kisayansi na kitechnogia?
Elezea vizuri amesemaje maana wengine hatujamuona. Au weka hapa tumuangalie akisema.
 
Kama anachosema Msigwa ni kweli waruhusu tukafukue pale kwenye Makaburi ya Kondo.
 
Back
Top Bottom