Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Elezea vizuri amesemaje maana wengine hatujamuona. Au weka hapa tumuangalie akisema.Hivi ushahidi kama ule uliofanyiwa utafiti na kuthibitishwa kwa technolagia ya hali ya juu,leo wewe mbuzi unayeishi kiprimitive unapata wa confidence ya kuja kubishana na ukweli kama ule uliothibitishwa kisayansi na kitechnogia?
PSYCHOPATH.Sio kama wana mental disorder, ni wanayo