Hivi serikali inawatafuta nini walimu kwenye ujenzi? Sasa huu mfumo wa manunuzi wa NeST imekuaje mmewahusisha?

Kudoba wepo baaah

Senior Member
Joined
May 12, 2024
Posts
155
Reaction score
461
Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule. Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi lengwa. Mpaka hapa, safi tu.

Anatakiwa aunde kamati mbalimbali zinazoshirikisha walimu wenzake, watendaji wa serikali, na wanakijiji ili washirikiane kusimamia mradi. Mpaka hapo, safi tu.

Linapoanza tatizo:
Fundi anatafutwa na ununuzi huku mwalimu akiambiwa tu, "Fundi wako huyu hapa na atajenga kwa kiasi hiki!" Kwisha!

Baadae tena anaitwa tu na kuambiwa vifaa utanunua kutoka kwa mzabuni fulani. Kwisha!

Vifaa vyote (materials) vinavyohitajika katika ujenzi husika lazima viingizwe kwenye mfumo wa NEST. Hii inahusisha mpaka maji, kokoto, mawe, mchanga n.k. Hapa kuna shida, na shida yenyewe ni kwamba gharama itakuwa kubwa mno kwani hata vitu ambavyo shule au kijiji kilikuwa na uwezo wa kuvipata kwa urahisi sasa mzabuni atapiga anavyotaka.

Mwishowe, mradi usipokamilika basi mwalimu ndiye atakayewajibishwa.

Au mimi sijaelewa wadau?
 
Dr. Msonde alikataa huo utaratibu alisema Walimu wajenge wao Moja kwa.moja bila mlolongo wa Halmashauri.

Mwisho hivi taasisi za Serikali za ujenzi Kama.TBA kazi Yao ni ipi hasa?

Idada za ujenzi huko Halmashauri kazi zao ni zipi hasa ?

Huu ujinga ukome na Walimu waachwe kwenye mambo ya taaluma ya kazi Yao.
 
Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule......,



Au mimi sijaelewa wadau?!!!!
๐”ธ๐•”๐•™๐•’ ๐•›๐•’๐•Ÿ๐•›๐•’ ๐•›๐•’๐•Ÿ๐•›๐•’ ๐•ž๐•™๐•’๐•ค๐•š๐•“๐•ฆ ๐•จ๐•’ ๐•ค๐•™๐•ฆ๐•๐•– ๐•ฆ๐•ค๐•š๐•ช๐•– ๐•Ÿ๐•’ ๐•ฅ๐•’๐•’๐•๐•ฆ๐•ž๐•’ ๐•ช๐•’ ๐•ฆ๐•™๐•’๐•ค๐•š๐•“๐•ฆ,๐•ฅ๐•ฆ๐•๐•š๐•’ ๐•™๐•š๐•ง๐•ช๐•  ๐•™๐•š๐•ง๐•ช๐• ,๐•ž๐•š๐•’๐•Ÿ๐•ช๐•’ ๐•ช๐•’ ๐•œ๐•ฆ๐•š๐•š๐•“๐•š๐•’ ๐•ค๐•–๐•ฃ๐•š๐•œ๐•’๐•๐•š ๐•š๐•ž๐•–๐•ซ๐•š๐•“๐•จ๐•’,๐•ฅ๐•’๐•—๐•ฆ๐•ฅ๐•’ ๐•ž๐•“๐•š๐•Ÿ๐•ฆ ๐•Ÿ๐•ช๐•š๐•Ÿ๐•˜๐•š๐•Ÿ๐•–,๐•ž๐•’๐•ฃ๐•’ ๐•ฆ๐•œ๐•’๐•Ÿ๐•ฆ๐•Ÿ๐•ฆ๐•– ๐•ž๐•’๐•“๐•’๐•ฅ๐•š,๐•ค๐•š๐•›๐•ฆ๐•š ๐•”๐•–๐•ž๐•–๐•Ÿ๐•ฅ ๐•™๐•ฆ๐•œ๐•ฆ ๐•ฆ๐•œ๐•š๐•—๐•’๐•š๐••๐•š๐•œ๐•’ ๐•Ÿ๐•’ 10% ,๐•š๐•ž๐•–๐•œ๐•ฆ๐•๐•’ ๐•œ๐•จ๐•’๐•œ๐• .๐•†๐•ง๐•’
 
๐•„๐•œ๐•ฆ๐•ฆ ๐•ฆ๐•Ÿ๐•’๐•ฆ๐•๐•–๐•จ๐•’ ๐•ž๐•—๐•ฆ๐•ž๐•  ๐•จ๐•’ ๐•Ÿ๐•–๐•ค๐•ฅ ๐•’๐•ฆ ๐•ฆ๐•Ÿ๐•’๐•ฅ๐• ๐•’ ๐•ฆ๐•ค๐•™๐•’๐•ฆ๐•ฃ๐•š ๐•“๐•š๐•๐•’ ๐•œ๐•ฆ๐•จ๐•’ ๐•Ÿ๐•’ ๐•ฆ๐•–๐•๐•–๐•จ๐•’ ๐•จ๐•’ ๐•œ๐•š๐•๐•– ๐•œ๐•š๐•Ÿ๐•’๐•”๐•™๐• ๐• ๐•Ÿ๐•˜๐•–๐•๐•–๐•จ๐•’ ๐•™๐•’๐• ๐•’?
 
Nest haitumii local fundi
 
Watakao lalamika sana na kuumia ni watu wa halmashauri
Madili naona yanavyokata taratibu

Mpaka waseme

Walizid wizi hawa nao

Zamu ya walimu kuiba sasa nao wanunue hata magari sasa wajenge maishi kisasa
Thaman yao sasa itapanda pia
 
Watakao lalamika sana na kuumia ni watu wa halmashauri
Madili naona yanavyokata taratibu

Mpaka waseme

Walizid wizi hawa nao

Zamu ya walimu kuiba sasa nao wanunue hata magari sasa wajenge maishi kisasa
Thaman yao sasa itapanda pia
๐•Ž๐•’๐•จ๐•–๐•ซ๐•’ ๐•–๐•๐•–๐•ซ๐•’,๐•™๐•’๐•ก๐•’ ๐•Ÿ๐•š ษด๐•’๐•ž๐•Ÿ๐•’ ๐•˜๐•’๐•Ÿ๐•š ๐•ž๐•จ๐•’๐•๐•š๐•žแดœ แด€แด›แด€ษดแดœา“แด€ษชแด‹แด€ ษดแด€ สœแดœแดœ แดา“แดœแดแด?
 
Leo katika mhadhara wa Uprofesa aliouwasailisha Profesa Rwekaza Sympho Mukandala kuna maeneo ameyagusa na kuyapa jina plate "tectonic za kijamii" akimaanisha โ€Šdola na soko.

Katika inaugural lecture hiyo ambayo kwa kweli maprofesa wegine wameipa jina magisterial inaugural lecture ameonesha namna inavyojiingiza katika manunuzi huku ikikiuka taratibu za manunuzi mathalani ununuzi wa meli ya MV Bukoba ulighubikwa na ukikwaji wa taratibu za manunuzi na mikataba.

Mifumo hiyo iliyoleta hasara nankugharimu maisha ya Watanzania mefafanuliwa vizuri sana na Profesa Rwekaza Sympho Mukandala leo.
Hii mifumo ya Dola kujipenyeza kwenye soko au mianya ya manunuzi Inaweza kutuletea hasara kwa sababu ni kama hakuna tulichojifunza.
 
Huu mfumo ni njia ya Dola kujipenyeza kwenye manunuzi na mikataba yake ova.
 
Mfumo uko vzr mbona tunaufanyia kazi fresh na kazi zipo niko wizara ya maji naona ishu ya kawaida na iko vzr
 
Kivipi ajipigie anavyotaka wakati tunachukua lowest bidder?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ