mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Nakumbuka vizuri mwaka ule kambi ya CHADEMA pale Mlimani City ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao!
Hivi hapa nchini Serikali inaweza kuwa na ubavu wa kuruhusu uwazi/transparency kiasi ambacho kila Mtanzania anaweza kuona kiasi cha kura alizopata mgombea yeyote wa ngazi yoyote?