mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Anayedhani nchi hii itapiga hatua sana kimaendeleo anajidanganya sana, kumbuka wezi hawajawahi simamia serikali hata siku moja CCM hii toka 2010 haijawah shinda uchaguzi na Zanzibar ndio kabisaaa toka 1995 CCM haijawahi shinda.Nakumbuka vizuri mwaka kambi ya chadema pale mlimani city ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao! Hivi hapa nchini serikali inaweza kuwa na ubavu wa kuruhusu uwazi/transparency kiasi ambacho kila mtanzania anaweza kuona kiasi cha kura alizopata mgombea yeyote wa ngazi yoyote?
Hata yule mgombea wa chadema 2015 wakati anapitishwa hapakuwa na transparency.Nakumbuka vizuri mwaka kambi ya chadema pale mlimani city ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao! Hivi hapa nchini serikali inaweza kuwa na ubavu wa kuruhusu uwazi/transparency kiasi ambacho kila mtanzania anaweza kuona kiasi cha kura alizopata mgombea yeyote wa ngazi yoyote?
Kama wee ni mwanamke ningekushauri uende ukadange tu, upate wa kukupiga mtalimbo asubuhi hiiHata yule mgombea wa chadema 2015 wakati anapitishwa hapakuwa na transparency.
Uliona wapi mgombea urais akipitishwa kwa kura za kunyoosha mikono?!
Thubutu, CCM tayari imekwishapata idadi ya kura za mwaka 2025 bado kuzitangaza tu.Nakumbuka vizuri mwaka ule kambi ya CHADEMA pale Mlimani City ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao!
Hivi hapa nchini serikali inaweza kuwa na ubavu wa kuruhusu uwazi/transparency kiasi ambacho kila mtanzania anaweza kuona kiasi cha kura alizopata mgombea yeyote wa ngazi yoyote?
Unadhani Dr Mahera anauwezo huo.Nakumbuka vizuri mwaka ule kambi ya CHADEMA pale Mlimani City ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao!
Hivi hapa nchini serikali inaweza kuwa na ubavu wa kuruhusu uwazi/transparency kiasi ambacho kila mtanzania anaweza kuona kiasi cha kura alizopata mgombea yeyote wa ngazi yoyote?
π π πThubutu, CCM tayari imekwishapata idadi ya kura za mwaka 2025 bado kuzitangaza tu.
Wezi wa kura wanaachaje kuiba Mali za umma?Anayedhani nchi hii itapiga hatua sana kimaendeleo anajidanganya sana, kumbuka wezi hawajawahi simamia serikali hata siku moja CCM hii toka 2010 haijawah shinda uchaguzi na Zanzibar ndio kabisaaa toka 1995 CCM haijawahi shinda.
Duh! Unapenda kupigwa mtalimbo asubuhi ππKama wee ni mwanamke ningekushauri uende ukadange tu, upate wa kukupiga mtalimbo asubuhi hii