baadhi ya magari ya maaskari na ya serikali ni mabovu sana na yakipita hayasimamishwi. Lakini pita na gari lako lina kreki ya kioo kwa mbaali, atataka akupeleke kituon, lakini ya kina nanihi hata kama halina taa za ishara hayasimamishwi. Hv sheria za usalama barabarani zinawahusu walalahoi tu, kina flan haziwahusu???????????????????