Hivi sheria za usalama barabarani inawahusu kina nani?

Hivi sheria za usalama barabarani inawahusu kina nani?

Master jay

Senior Member
Joined
May 28, 2012
Posts
194
Reaction score
31
baadhi ya magari ya maaskari na ya serikali ni mabovu sana na yakipita hayasimamishwi. Lakini pita na gari lako lina kreki ya kioo kwa mbaali, atataka akupeleke kituon, lakini ya kina nanihi hata kama halina taa za ishara hayasimamishwi. Hv sheria za usalama barabarani zinawahusu walalahoi tu, kina flan haziwahusu???????????????????
 
Back
Top Bottom