Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

Don't take women too seriously, majority of them have nothing special to offer you, they are just absolute liabilities in your life.
Sahih kamanda unamhudumia tu ukitoa sex hawez kukusaidia chochote kile
 
Tafuta ishu ya kufanya uache kuendekeza mambo ya kijinga Kama hayo.
Unaonekana upo idol Sana kijana
 
Mademu wote watano amabao nimejaribu kuwatongoza kupitia namba ngeni wote walikubali
Hata ungewatongoza tena kwa namba yako ya kawaida bado wangekubali, huna haja ya kubadilisha namba ngeni.
 
Back
Top Bottom