Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 784
Habari wadau nimejiuliza sana hivi shilingi 5,10 na 20 kupotea mataan nina weza kusema nina miaka kama mitatu sijaziona hela hizo na sijaona tangazo la serikali au BOT kuziondoa kwenye matumizi hela hizo naambiwa hata madukan hazikubaliki tena....sasa najiuliza zimefutwa au hazina thaman tena ya kufanya manunuzi...na pia kiuchumi hili limekaaje ikiwa america had leo wana Sent...vip sisi tunao anzia sh 50 tena hapo unanunua pipi tu.!
Karibuni
Karibuni