Hivi shilingi 5, 10 na 20 zimefutwa kwenye matumizi?

Hakuna cha kununua na tsh 5, 10, na 20 ndo maana huzioni popote...
 
Hizo zingekuwa na thamani kama bidhaa zina uzwa kwa mfano sh 280 au 295 badala ya 300 hapo ungeona Ina thamani yake.
Kwa mfano mzuri UK bado wanatumia 1p 2p 5pence na kadhalika ukiiona ardhini 1p huwezi okota lakini ukienda dukani kama umepungukiwa 1p itabidi uchenji noti
 
Reactions: o_2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…