Hivi shows za Marekani na Ulaya ni ishara ya kukua kwa bongofleva ama tunalazimisha kutaka sifa?

Hivi kuna watu wako kwenye payrolls za mondi na kiba nn maana naona kuna watu akitajwa mondi wanaumia sn na akitajwa kiba wanaumia sn wako tayari kuokoteza issues ili mradi upande mmoja uonekane ovyo. Maana heri ya wakati ule kifesi yupo fb alikuwa anatoa habari za ukweli haswa kuliko hawa waliopo ss kutwa kukashifiana.
 
Watanzania mnatumia nguvu nyingi kwenye vitu vya kijinga-jinga.
 
Mwika Hall kuna harusi Ya wanYamwezi anachukuliwa msanii mmoja wa IGAGALA no 5 urambo kuja kuperform mziki wa URAMBO si utakuwa umekuwa umevuka mipaka hususan msanii akipita pale MWENGE kwa P FUNK akapiga picha 2 na mastaa kadhaa igagala inakuwa imetusua
 
Mleta mada inaonekana umeanza kufuatilia muziki wa Bongo flava miaka michache iliyopita au wewe mtoto wa miaka ya 90's mwishoni kwa hiyo huna fact.

Alikiba amewahi kufanya tour zaidi ya nchi 20 Ulaya na Marekani wakati Diamond hajui hata booth ya kurekodia muziki inafananaje.

So unapoanzisha uzi jitahidi uwe na facts sio kutuletea ushabiki maandazi hapa.
 
Wewe unamtindio wa ubongo? Hata kuchambua mada huwezi halafu unaleta kimbelembele cha kuquote wanaume.....Mimi nimejibu hoja ya mleta mada kuwa Domo ndio kaanza kwenda ulaya kuperform......mimi nikamjibu hapana Ali ndo kaanza then wewe na kiherehere chako ukaniletea hoja ya kujaza ukumbi wakati hoja niliyodili nayo ni ya nani kaanza kwenda ulaya badala ya nani kajaza......Halafu tusipangiane cha kujibu mkuu najibu nilivyoelewa mada usifosi tufanane
 
Nimefatilia mabishano yenu kiukwli ww ndo unaonekana ubongo wako mzito sana kama uji wa udaga.....sizan hata darasan ulikiwa unaelewa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…