Hivi shows za Marekani na Ulaya ni ishara ya kukua kwa bongofleva ama tunalazimisha kutaka sifa?

Hivi shows za Marekani na Ulaya ni ishara ya kukua kwa bongofleva ama tunalazimisha kutaka sifa?

Hivi kuna watu wako kwenye payrolls za mondi na kiba nn maana naona kuna watu akitajwa mondi wanaumia sn na akitajwa kiba wanaumia sn wako tayari kuokoteza issues ili mradi upande mmoja uonekane ovyo. Maana heri ya wakati ule kifesi yupo fb alikuwa anatoa habari za ukweli haswa kuliko hawa waliopo ss kutwa kukashifiana.
 
Hoja yako ......... Kwani wewe ndio uliyeleta mada hapa ......MADA INATAKA KUJUA KAMA SHOO ZA ULAYA NA MAREKANI ZINAWALIPA WASANII WETU,halafu wewe unaongelea kitu kisichokuwepo kwenye mada upo sawa kweli,si bora ungeendelea kujificha kwa jinsi nilivyokuelewa mimi kuliko sasa kujifanya ndio wewe muelewa .......Kama ni hivo KWANINI USIANZISHE THREAD YAKO UNAYOZUNGUMZIA WASANII WA MWANZO KABISA KWENDA ULAYA NA MAREKANI,KISHA UONE KAMA HUYO KIBA WAKO ATAKUWEPO HATA KWENYE 10 BORA ????
Watanzania mnatumia nguvu nyingi kwenye vitu vya kijinga-jinga.
 
Mwika Hall kuna harusi Ya wanYamwezi anachukuliwa msanii mmoja wa IGAGALA no 5 urambo kuja kuperform mziki wa URAMBO si utakuwa umekuwa umevuka mipaka hususan msanii akipita pale MWENGE kwa P FUNK akapiga picha 2 na mastaa kadhaa igagala inakuwa imetusua
 
Alianza Simba Diamond Platnumz, mara Rayvanny, Harmonize na Mavoko wakatia timu pande zile na week hii kaibuka wakuitwa King Kiba nae anaanza tour Ulaya na Marekani na mpaka muda huu Malaika wa raruararua yuko kwenye viunga vya US.

Jamani hivi hizi shows zinaonyesha dalili yoyote ya kukua kwa bongofleva ama ni kujibu mapigo ya mtu kutafuta droo?

Naomba tulojaaliwa utashi tufunguke ya moyoni.
Mleta mada inaonekana umeanza kufuatilia muziki wa Bongo flava miaka michache iliyopita au wewe mtoto wa miaka ya 90's mwishoni kwa hiyo huna fact.

Alikiba amewahi kufanya tour zaidi ya nchi 20 Ulaya na Marekani wakati Diamond hajui hata booth ya kurekodia muziki inafananaje.

So unapoanzisha uzi jitahidi uwe na facts sio kutuletea ushabiki maandazi hapa.
 
Hoja yako ......... Kwani wewe ndio uliyeleta mada hapa ......MADA INATAKA KUJUA KAMA SHOO ZA ULAYA NA MAREKANI ZINAWALIPA WASANII WETU,halafu wewe unaongelea kitu kisichokuwepo kwenye mada upo sawa kweli,si bora ungeendelea kujificha kwa jinsi nilivyokuelewa mimi kuliko sasa kujifanya ndio wewe muelewa .......Kama ni hivo KWANINI USIANZISHE THREAD YAKO UNAYOZUNGUMZIA WASANII WA MWANZO KABISA KWENDA ULAYA NA MAREKANI,KISHA UONE KAMA HUYO KIBA WAKO ATAKUWEPO HATA KWENYE 10 BORA ????
Wewe unamtindio wa ubongo? Hata kuchambua mada huwezi halafu unaleta kimbelembele cha kuquote wanaume.....Mimi nimejibu hoja ya mleta mada kuwa Domo ndio kaanza kwenda ulaya kuperform......mimi nikamjibu hapana Ali ndo kaanza then wewe na kiherehere chako ukaniletea hoja ya kujaza ukumbi wakati hoja niliyodili nayo ni ya nani kaanza kwenda ulaya badala ya nani kajaza......Halafu tusipangiane cha kujibu mkuu najibu nilivyoelewa mada usifosi tufanane
 
Nimefatilia mabishano yenu kiukwli ww ndo unaonekana ubongo wako mzito sana kama uji wa udaga.....sizan hata darasan ulikiwa unaelewa mapema
 
Back
Top Bottom