Hivi sifa ya mtu kutumikia Ubungw ni Kuwa na likitambi au mtumbo Mkubwa?

Hivi sifa ya mtu kutumikia Ubungw ni Kuwa na likitambi au mtumbo Mkubwa?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Africa tuna matatizo sana, ukiwaangalia wabunge wengi wa Tanzania wana mivitambi mikubwa, mitumbo mikubwa, tuna wabunge matumbo tumbo.

Fyuu hovyo nimeona video clip ya like libunge la malinyi nilitumbo tumbo tu.

Fyuuu
 
Kitambi ni dalili ya mtu tupatupa ,mtu anaekula hovyo na kugawa pesa hovyoo ,huku akijineemesha , jamii nyingi za TZ zinapenda matupatupa!!
 
Back
Top Bottom