Pang Fung Mi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 6,653 Reaction score 13,919 Mar 12, 2025 #1 Africa tuna matatizo sana, ukiwaangalia wabunge wengi wa Tanzania wana mivitambi mikubwa, mitumbo mikubwa, tuna wabunge matumbo tumbo. Fyuu hovyo nimeona video clip ya like libunge la malinyi nilitumbo tumbo tu. Fyuuu
Africa tuna matatizo sana, ukiwaangalia wabunge wengi wa Tanzania wana mivitambi mikubwa, mitumbo mikubwa, tuna wabunge matumbo tumbo. Fyuu hovyo nimeona video clip ya like libunge la malinyi nilitumbo tumbo tu. Fyuuu
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Mar 12, 2025 #2 Ukimuona mtu ana tumbo kubwa jua kuwa ana kiwanda cha mbolea tumboni
A Arizona 1 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 605 Reaction score 1,279 Mar 12, 2025 #3 Wanakula hovyo hovyo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 12, 2025 #4 Inashangaza sana
mwehu ndama JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 630 Reaction score 2,151 Mar 12, 2025 #5 Kitambi ni dalili ya mtu tupatupa ,mtu anaekula hovyo na kugawa pesa hovyoo ,huku akijineemesha , jamii nyingi za TZ zinapenda matupatupa!!
Kitambi ni dalili ya mtu tupatupa ,mtu anaekula hovyo na kugawa pesa hovyoo ,huku akijineemesha , jamii nyingi za TZ zinapenda matupatupa!!