Hivi siku akatawala Rais ambaye ni mshabiki wa Simba atakubaliana na siasa uchwarwa kwenye mpira wetu

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!
Binafsi mimi nikiwa Rais alafu nimsikie waziri anayesema yanga ni timu ya serikali,nitamtembeza kichura kutoka Dar es salaam mpka kigoma.

Kwanza atanikumbusha haya machungu ya namna Simba ilivyohujumiwa kwa mpira ambao umekaa kisiasa kabisa.
Lakini pia nitamrusha kichura kwasababu:-

1.waliopigania uhuru wa nchi ni waasisi waliotangulia mbele ya haki,hayati Mwl.Julius k.Nyerere na Mzee Abeid Karume na sio timu ya mpira.

2.Simba na yanga zilianzishwa baada ya kuzaliwa kwa nchi inayoitwa Tanzania au zimeanzishwa baada ya mwaka 1961,na timu za mpira ambazo zilikuwepo kabla 1961 hizo ni timu za wakoloni ambazo ziliundwa na watumwa na zilianzishwa kwa lengo la kuwafurahisha wakoloni na sio kwa lengo la kutafuta uhuru wa Tanganyika au Tanzania.

3.Hii timu ya Simba ilianzishwa na waasisi wa nchi hii mwaka 1971,yaani,hayati Mh.Abeid Karume rais wa Zanzibar,Waziri mkuu Kawawa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kipindi hicho.

Nitashangaa kama kuna waziri kwa sasa,anayejaribu kuibagua Simba kwa maslahi yake nakutakutuaminisha ya kwamba yanga ndio timu ya serikali,kwa hiyo hao walianzisha Simba sio viongozi wa serikali?

Amesahau yakwamba Simba nilidude likubwa kuliko yeye,ipo siku sio ajabu akaja Rais mwenye mapenzi na Simba haswa,hawezi kubalia propaganda za kitoto kama hizi.
Nb.Na kuna viongozi ambao ni Simba na lia lia wapo wengi mnoo

Tunamshauri huyo waziri aache kuchanganya mpira na siasa,mbeleni ina madhara makubwa mnoo.
 
Rudi kajifunze vizuri historia ya hizi club, itakusaidia kujua mengi.
 
Source ya haya maelezo yako umeyatoa wapi Kwanza kabla hatujaendelea?
 
Vichapo vinawachanganya nyie simba mpaka mnaandika vitu vya ajabu mitandaoni na bado mtalaumu sana tu
 
Tumvumilie, mwakani CCM itatusimamishia mwingine
 
Hapo vip!!
Binafsi mimi nikiwa Rais alafu nimsikie waziri anayesema yanga ni timu ya serikali,nitamtembeza kichura kutoka Dar es salaam mpka kigoma.

Kwanza atanikumbusha haya machungu ya namna Simba ilivyohujumiwa kwa mpira ambao umekaa kisiasa kabisa.
Lakini pia nitamrusha kichura kwasababu:-

1.waliopigania uhuru wa nchi ni waasisi waliotangulia mbele ya haki,hayati Mwl.Julius k.Nyerere na Mzee Abeid Karume na sio timu ya mpira.

2.Simba na yanga zilianzishwa baada ya kuzaliwa kwa nchi inayoitwa Tanzania au zimeanzishwa baada ya mwaka 1961,na timu za mpira ambazo zilikuwepo kabla 1961 hizo ni timu za wakoloni ambazo ziliundwa na watumwa na zilianzishwa kwa lengo la kuwafurahisha wakoloni na sio kwa lengo la kutafuta uhuru wa Tanganyika au Tanzania.

3.Hii timu ya Simba ilianzishwa na waasisi wa nchi hii mwaka 1971,yaani,hayati Mh.Abeid Karume rais wa Zanzibar,Waziri mkuu Kawawa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kipindi hicho.

Nitashangaa kama kuna waziri kwa sasa,anayejaribu kuibagua Simba kwa maslahi yake nakutakutuaminisha ya kwamba yanga ndio timu ya serikali,kwa hiyo hao walianzisha Simba sio viongozi wa serikali?

Amesahau yakwamba Simba nilidude likubwa kuliko yeye,ipo siku sio ajabu akaja Rais mwenye mapenzi na Simba haswa,hawezi kubalia propaganda za kitoto kama hizi.
Nb.Na kuna viongozi ambao ni Simba na lia lia wapo wengi mnoo

Tunamshauri huyo waziri aache kuchanganya mpira na siasa,mbeleni ina madhara makubwa mnoo.
Sanilini wachezaji wenye qualities, achaneni na ufala.
Mukwala ndiye wakumkata chenga Bacca au Job?
Kenge nyiye!
 
Back
Top Bottom