Hivi siku hizi Diamond ni mwanamuziki au socialite?



Diamond hajawahi kuwa mwanamuziki, yule ni msanii tu na ndiyo maana nyimbo zake kama za wasanii wengine wa bongo fleva huwa hazidumu kwa sababu si muziki wa kweli.....ile ni Karaoke.
 
Asante kwa kumuelekeza vzuri.
 
Mkuu upo nchi gani? Kuna utofauti wa masaa mangapi kati ya huku Bongosalama na huko uliko?
 
Roho mbaya zitawaua wabongo


Ina maana hujayaona haya Kwa mwaka 2017

1. Mkataba Wa kinywaji cha Belaire

2. Mkataba na Diamond karanga

3. Mkataba na Flying Dubai



Sijazungumzia kazi alizofanya mwaka huu na Tiwa Savage, Morgan Heritage na Rick rose.



Kama kweli huoni kama hayo ni mafanikio makubwa mno kwa mtanzania mwenzako nakuhakikishia utakuwa mchawi uzeeni mwako
 
Me niliwahi kusema mda mrefu, Dai hajui kuandika mzk anaoteaga tu, miziki yake ya sasa labda wale mondikindakindaki na promo za bodaboda. Kati ya miziki yote aliyotoa karibuni, hakuna wimbo wa kumfunika Asley.
Mbunju
 
Jamaa anajitoa tu ufahamu msamehe buree
 
ww team kibamia mbona povu?
 
Jibu la swali lako ni kwamba, ninavyofahamu mimi Masanja ni Mchungaji na wala si Mkandamizaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…